Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,953
- 20,158
mwarabu na utumwa ni pete na kidole.Siongei sana Dubai baada ya mafuriko waendelee kuwatetea baada ya hii π π π π π π
mwarabu na utumwa ni pete na kidole.Siongei sana Dubai baada ya mafuriko waendelee kuwatetea baada ya hii π π π π π π
Ngozi nyeusi ni symbol ya umaskini na mental Breakdown according to BOTHA the late S.A presidentHabari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza upendo, kujaliana, kuthaminiana pia usawa kwa watu wote?
Imekuwa ni kawaida kabisa waafrika kuoa wazungu mfano Harmo vs Saraha, Remmy vs Mzungu, Linex vs Mzungu enzi hizo pia bila kumsahau Chindo man na Hussein machozi.
Je, suala hilo lina fungamana na imani ambayo kwa kiasi kikubwa wao hutuhubilia kila siku pia kuenezwa duniani ili tujifunze na kuifuata au nini maana ya hili?
Je ni sahihi tufuate dini na imani iliyo katika mlengo huo?
Najua hata mabeberu (wazungu) ni wa baguzi tena si wema sana ila wao sisi tuna oa ata ubaguzi wao ni mdogo kwa sasa ukilinganisha na Mwarabu.
Mwenye orodha ya weusi 10 wenye wake Waarabu tunaomba atuwekee hapa ili isionekane ni propaganda au uchafuzi wa watu fulani au dini fulani
Hatuzungumzii hao choka mbaya wa Nzega ambao hawana hata ndugu OmanUnajidhalilisha kulialia kuoa sehemu hutakiwi....anyway nimeishi na izo race sana na kweny contacts zangu za simu wapo ila naona kawaida wanajali sana pesa wapo kibao choka mbaya wameolewa na jamaa kadhaa.
Mbna wazungu tunamwagia ndani broo?Sasa si uoe hao dada zako? Wewe ndio unawashobokea ndio maana unahoji kwanini hawakutaki. Kama wangekuona wa maana wangekufata tu ila huna hiyo hadhi yao acha kujipendekeza watakufanya kitu mbaya
Kama kweli hilo andiko la nasaba kama lipo basi waliweka wenyeweUnafikiri dini inaangalia kufanana kwenu kiimani, Dini nayo imezungumza uwezo pia wa kiuchumi, nasaba na uwezo pia wa kula hiyo kitu. Sasa wewe hilo la nasaba unalijua?
Mibaguzi tu hiyoHiyo siyo ishu, ishu ni kwa nini wao hawalili na kulazimisha kuoa kwenu kama wewe unavyotamani kuoa kwao?
Mahari zao sasa,utasikia leta kg 2 za dhahabu πMibaguzi tu hiyo
Umezingua kinomaKuna bidada mwarabu Koko nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mzanzibar Kuna siku alinambia kinaga ubaga kuwa anahitaji kusomwa jicho yaani 0713... nikamwambia mie situmii hiyo kitu kwanza alinishangaa na kunambia mbona ni jambo la kawaida na ni tam sana nikizoea nikamwambia hapana akaniuliza Kwa ukali kwamba Nakula au sintokula nikamwambia sijawahi na sitaki akanambia tangu sasa mahusiano yamekwisha tukaachiana hapo.
Waarabu wanafumuana sana vinyero,wasenge wa tupuKuna bidada mwarabu Koko nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mzanzibar Kuna siku alinambia kinaga ubaga kuwa anahitaji kusomwa jicho yaani 0713... nikamwambia mie situmii hiyo kitu kwanza alinishangaa na kunambia mbona ni jambo la kawaida na ni tam sana nikizoea nikamwambia hapana akaniuliza Kwa ukali kwamba Nakula au sintokula nikamwambia sijawahi na sitaki akanambia tangu sasa mahusiano yamekwisha tukaachiana hapo.
Mibaguzi tu hiyo
TeaUmezingua kinoma