Mi nilinunua nguo vi brauz nilivion vzr kweli pale banana tu ukonga cha ajabu Kila nikichagua nazid kuzion nzuri mno nikanunua mzigo mzima brauzi 45 ivi kwajil ya kuvaa nikatoa pesa kufik home uwez amini brauz zote ni manyalunyalu wakat nilizijalibu afu nikashtuka why nimenunua brauz nying ivi...
Habari yenu ndugu natafuta dada wa kazi za ndani awe bint kuanzia miak 18-22 ,sina mtoto naishi kweny nyumb yangu mshahara ni alfu arobaini
Lengo la kusaka dada wa kazi ni kwamba nachoka kufany kaz za kazn na nyumbn pia nachelew kulud nyumbn
Kaz za apa ni kufyagia,kupika kulisha kuku basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.