Recent content by fered

  1. F

    Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

    We mwenyewe Mpiga debe wa ccm jamii forums, kumbukeni kuna maisha baada ya uchaguzi.
  2. F

    Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

    makubwa hayajui matatizo ya wananchi mpaka ayasome
  3. F

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    mchezo msafi wa siasa ya bongo unaendelea
  4. F

    ACT - Wazalendo yazidi kupata wananachama toka CHADEMA

    Ukiona mtu mmoja anahama chama kimoja kwenda kingine ujue huyo anatafuta namna ya kula tu. kama kweli ni mzalendo kwanini asionyeshe uzalendo wake hapo hapo, "sera za chama sio damu katika mwili wa mwanadamu wala sio nia ya mwanasiasa katika siasa" by fredy
  5. F

    Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

    kwa hiyo hao wanaouliwa ndo miungu yenu, Yesu alijitoa Muhanga kwa kuwauwa watu au alijitoa muhanga kutukomboa pale msalabani, uwislam ufe kabisa kama muhamad alivyokufa dunia iwe na Amani
  6. F

    Mtanzania Mwingine ahusishwa na mauwaji yanayoendelea huko Garissa

    Nahisi kama uwislam usingekuwepo na neno ugaidi wala lingekuwepo duniani kuanzia karne ya karne 20
  7. F

    Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    kama unaweza waambie wote wa uswahilini hiki kitu
  8. F

    Pengo: Nimesamehe

    Kaiyaibisha madhabau kabisa
  9. F

    Pengo: Nimesamehe

    Aliambiwa akatukane, mbona wengine hawajatukana ila wameonya tu
  10. F

    ACT-wazalendo tumesikitishwa na magazeti

    Wenzako wanaaangalia namna ya kuuza gazeti. ukimtaja zito utaauza kuliko ukitaja yaliojili mkutano wa ICT
  11. F

    Hospitali ya Bugando: Idadi ya wagonjwa yapungua

    Na hiyo ndo sababu kuu, nyingine ni kuwa dawa hazitolewi pale wala kuuza pale wanadai wananchi wanasema eti kuwa wanawaibia wanapoandika gharama ya dawa. kama hutanunua dawa ulioandikiwa kwenye phamacy na kuwapa wampe mgonjwa wako basi mgonjwa wako atakufa hiv hivi bila hata kupewa PCM, na wala...
  12. F

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Katiba Katiba inahitaji iwe na mambo ya msingi yakuweza kujenga nchi na sio jambo la kundi flani ambalo halina masilahi ya taifa, Raisi kasha maliza
  13. F

    Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

    Ila watanzania ni watu wa ajabu, inabidi tuwekwe katika maajabu ya dunia na mambo yetu
  14. F

    Mwili wa Captain Komba unaagwa sasa hivi uwanja wa Majimaji

    apumzike sasa na mikiki ya siasa na maisha
  15. F

    Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    kweli mkuu. ila tufikirie kitu kama movement za uhuru zingekuwa maeneo ya bara wengi wangekuwa watu gani?, pili ukombozi ulikuwa ni wa watu wote wa tanganyika kujikomboa kutoka kwenye ukoloni, haukuwa ukombozi wa kidini, inamaana kama Takadir angeeneza dini kwenye siasa za ukombozi basi...
Back
Top Bottom