Ukiona mtu mmoja anahama chama kimoja kwenda kingine ujue huyo anatafuta namna ya kula tu. kama kweli ni mzalendo kwanini asionyeshe uzalendo wake hapo hapo, "sera za chama sio damu katika mwili wa mwanadamu wala sio nia ya mwanasiasa katika siasa" by fredy
kwa hiyo hao wanaouliwa ndo miungu yenu, Yesu alijitoa Muhanga kwa kuwauwa watu au alijitoa muhanga kutukomboa pale msalabani, uwislam ufe kabisa kama muhamad alivyokufa dunia iwe na Amani
Na hiyo ndo sababu kuu, nyingine ni kuwa dawa hazitolewi pale wala kuuza pale wanadai wananchi wanasema eti kuwa wanawaibia wanapoandika gharama ya dawa. kama hutanunua dawa ulioandikiwa kwenye phamacy na kuwapa wampe mgonjwa wako basi mgonjwa wako atakufa hiv hivi bila hata kupewa PCM, na wala...
kweli mkuu. ila tufikirie kitu kama movement za uhuru zingekuwa maeneo ya bara wengi wangekuwa watu gani?, pili ukombozi ulikuwa ni wa watu wote wa tanganyika kujikomboa kutoka kwenye ukoloni, haukuwa ukombozi wa kidini, inamaana kama Takadir angeeneza dini kwenye siasa za ukombozi basi...
Hahari wana jamii,
Samahani naomba kusaidiwa kujua, uhalali wa Kinana na Nape nauye kufanya ziara ya chama cha CCM huku wakikagua miradi ya serikali Jamuhuri ya muungano, Hivi kweli viongozi wa chama cha siasa hata kama kipo madarakani wanaruhusa ya kukagua miradi ya serikali na kuwawajibisha...
Kumekuwa na mtazamo hasi kwa viongozi wa Tanzania, kila jambo wanalitazama kwa madhara hasi tu na kusahau madhara chanya, mfano uraia wa nchi mbili wanakuambia Amani itavunjika, CHEDAMA na CUF wakifanya mikutano na maandamano Amani itavunjika, Serikali tatu Amani itavunjika na jeshi litachukwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.