Recent content by fellyjr

  1. fellyjr

    Msaada Wa mada ya Sheria ngazi ya cheti

    Actus reus means act itself and mens rea means mental. Kwenye criminal liability unatumia hvo vitu viwili kuprove kuwa mtu accused person. Actus reus unaangalia kitendo kilchofanywa na mtuhumiwa na mens rea unachek mtuhumiwa alikuwa anafikiri nn wakat wa kutenda kosa.
  2. fellyjr

    Msaada: Anayepajua M-Store

    Wana jf kwa wanaopajua M-Store hapa dar naomba anielekeze ilipo.
  3. fellyjr

    Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

    Hujaona maproducer wakali ww kasklize kaz mr t touch
  4. fellyjr

    Msaada: Vyuo vya ufundi Tz

    Wana jf naomben msaada vyuo vya ufundi vilivyo chini ya veta vinavyotoa kozi ya umeme wa magari.
  5. fellyjr

    La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

    La chaaz haipo sinza mapambano ni sinza mori
  6. fellyjr

    Fani zenye soko

    Stashahada na hta vocational training
  7. fellyjr

    Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

    Kasome clothes designing
  8. fellyjr

    Naomba ushauri, sijachaguliwa na TCU

    Tafuta course nyngne ukasome utatoka maishan
  9. fellyjr

    Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

    Soma katba ya zanzbar na ya jamuhur ya muungano wa tz
  10. fellyjr

    Fani zenye soko

    Ushonaj wa nguo zp za kike au kiume?
  11. fellyjr

    Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

    Kasome katba ww znz ni nchi
  12. fellyjr

    Fani zenye soko

    Wana jf naombeni msaada ni fani zipi kwa sasa zipo kwenye soko znazotolewa vyuo vya ufundi hapa tanzania
  13. fellyjr

    Matokeo ya kidato cha pili ya mwanafunzi aliyeshambuliwa na walimu

    Cha ajabu walimu watto wao hawawapgi kma watto wa wenzao
Back
Top Bottom