Recent content by eskimo

  1. E

    Mkuu wa chuo cha uhasibu arusha bw monyo

    kwa mara nyingine tena jana alhamis tarehe 31 July 2014 TAKUKURU wamempandisha kizimbani mkuu wa chuo cha uhasibu arusha (IAA) kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya mamilion ya pesa. KOSA LA KWANZA kuingia mkataba wa matibabu kwa wafanyakaz wa chuo hicho na hospital...
  2. E

    Professa Gabriel wa wizara ya michezo ana elimu ya kughushi?

    Kuna mwingine pia yupo chuo cha uhasibu arusha anajiita eti profesa monyo nae uprofesa wa magumashi.ameaminiwa mpaka akapewa ukuu wa chuo.alipewA uprofesa na bodi ya chuo akiwa na masters tu.baadae alifanya phd ya online NACTE wakaikataa na uprofesa wakamvua badae akawahonga alipopata ukuu wa...
  3. E

    Naomba msaada juu ya salary scales hizi

    hiyo ya PHTS 13-14 inaanza na basic salary ya 1.9 milions. hiyo ingine sijui
  4. E

    Kwa nini necta hawajatumia majina ya wanafunzi mataokeo haya

    nimesikitishwa na kitendo cha NECTA cha kutotumia majina ya wanafunzi badala yake wametumia namba. kwa jinsi matokeo yalivyomabaya wanafunzi wengi watadanganya namba zao au watakuwa wagumu kutoa namba zao sahihi. au ni kwa sababu ya MWANAISHA aliyemaliza mwaka jana ikawa gumzo????
  5. E

    brigedia Mbilizi na kamati ya maadili ya bunge

    ilibidi wakati anaelekea kwenye adhabu akaitwa na spika na kumwambia acha. lakini inaelekea ni maelekezo kutoka kwa magamba walioshitukia mapema
  6. E

    brigedia Mbilizi na kamati ya maadili ya bunge

    na spika wa bunge kwa kile alicosema kuwa ni kinyume na haki za binadamu kwa kuwa watuhumiwa akina Lisu , mnyika na wenzake hawakohojiwa
  7. E

    brigedia Mbilizi na kamati ya maadili ya bunge

    report ya brigedia aliyo kuwa anaisoma bungeni kutokna na vurugu zilizotokea bungeni imekatishwa ghafla
  8. E

    Ufisadi wamkaanga bosi Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA)

    kushuka kitaaluma na ufisadi vinahusiana nini???toa hoja sio kuongea tu bila kujua unaongea nini. katika kipindi chake ameshafukuza wafanyakazi zaidi ya 10 bila makosa ya msingi. tena anadeal na wafanyakazi wadogo kama walinzi. ili alete walinzi ndugu zake ambao hawawezi kupata kazi zingine kwa...
  9. E

    Ufisadi wamkaanga bosi Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA)

    mzinga how can i attach a file in jamii forum??i have scanned doc of raia mwema
  10. E

    Ufisadi wamkaanga bosi Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA)

    tafadhali pitia makala hii ya ufisadi thidi ya mkuu wa chuo cha uhasibu arusha kama ilivyorepotiwa na Raia Mwema tarehe 16 january. hivi huyu profesa Monyo si ndo yule aligombea kura za maoni na Lameck kule Rorya akashindwa?? du kweli serikali imeharibika...
  11. E

    Kesi ya shambulio la mkuu wa Wilaya Igunga, CHADEMA yashinda

    big up kwa taarifa, hizo zilikuwa mbinu za mwigulu kama campain manager wa CCM. na ndio maana CCM wakamuamini na mumleta tena arumeru mashariki kama campein manager na akashindwa na sasa hivi hawawezi kutumia tena kwani mbinu zake zimeshafahamika kama zile za juzi iramba kwenye jimbo lake kwa...
Back
Top Bottom