Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake.
Au kamata vyote kwa 500000
Vinapatikana bunju B.
0677508568
Apple kuwa na patents za technology haina maana ni idea za mwanzilishi, hata thomas edson alipatent vitu ambavyo hakuvumbua vilivumbuliwa na maengineer aliokuwa kawaajili.
Elon Musk maengineer wanamsifu kwamba anaweza jihabarisha akawa na uelewa mkubwa wa tech za makampuni anayosimamia. Hivyo...
Mpesa yes hata kwenye maelezo nimeandika mpesa inakubali, ukishaiset tu basi hata utoe line as long as unajua password inakubali. Ila airtel an tigo pesa ukitoa line nayo inakusignout. Pia hata kuset app inabidi line iwe kwenye simu ndipo inakubali labda wana ujanja wa kuzitrick.
Mkuu hii ya kutumia airtel app haiwezekani. Ukitoa line kwenye simu ukaweka nyingine ukifungua app inadai uweke line na utumie internet ya airtel. Tigo pia ni same kasoro voda (napenda voda kwa hili).
Labda kuna njia nyingine wanayotumia. Au inawezekana labda ukiendelea tumia internet ya airtel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.