Recent content by elijaah

  1. E

    Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    Acha kupotosha watu mkuu ww huijui Zanzibar. Ukitoa ivo viazi, vitungu maji na nyanya vitu karibia vyote Zanzibar wanaagaza nje. Zanzibar ni kawaida tu kukuta watu wanatumia vitunguu swaum ama mchele kutoka India. Yaani Zanzibar vitu karibia vyote unavovijua ww wanaagiza nje ni asilimia...
  2. E

    TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

    Siku yake ya kufa ilishafika kusingekuwa na namna yoyote ile yakubailisha ilo Na sio kila anaezama kwenye maji huzama kwa pupaa mda mwingine mtu anaweza kuzama na msiwe na habar mpk ule mda wa kutaka kuondoka ndo mnajua kuwa fulani mbona hatumuoni kumbe alishazama kitambo sana
  3. E

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Uko kwa presenters ndo hakufai kumeozaaa
  4. E

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Naungo mkono kauli ya Chid % kubwa ya wasanii wanalika
  5. E

    Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    Wewe jamaa utakuta ukishatoa hela ya kula ndio basi unashindwa ata kumhudumikia mkeo mahitaji yake kwa sabab ana vijipesa vyake Lazima mwanamke awe mbinafs hela zake halaumiki ata kdg.
  6. E

    Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Kuna watu nawajua wameshapigan na trafic barabaran mwish wa siku wanawekwa ndan na kupelekwa mahakaman na kupigwa faini ila baada ya apo heshim inafuata mkondo wake siku nyengin ata amkute na kosa gan hamulizi kitu
  7. E

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Waarabu wanabebwa bhn
  8. E

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Mazembee washawaliza waarabu uko
Back
Top Bottom