Recent content by donald james

  1. D

    Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    nasoma Ardhi,Geomatics is the best, kama umefaulu vzur,nakushaur chukua hyo,japokuwa mi sisomi hyo
  2. D

    Vocha nacte inauzwa 35000

    ni ile ambayo unalipa via m pesai.e NACTE CAS?tuambiane jaman
  3. D

    UDSM mko wapi, shindano la ubunifu?

    Jaman vijana wenzangu,hv vtu ni aibu taifa linakutegemea kuwa mwanafunz wa elimu ya juu upambane na mazingira kutokana na elimu unayoipata halaf wewe unajisifia et unakomaa na madesa kumaintain GPA,tunaenda wap sisi? mi nlifikiri ukisoma post Hyo ya kaka hapo unaweza fikiria namna gani ya...
  4. D

    Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    yakitoka utajua tu usiwe na hofu ,kama wakufaulu utafaulu tuu
  5. D

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    pita tu kama hujaelewa
  6. D

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    huu ni mchezo unaowasumbua wengi haxwa wanaume na kutokana na kuuzoea weng hupenda kujiita wagumu,SASA NINAOMBA MCHANGO WAKO WA MADHARA YA HUU MCHEZO UWE MUATHIRIKA AU USIWE MUATHIRIKA WA MCHEZO HUU ILI KILA MTU AJUE MADHARA YAKE NA NAMNA YA KUUEPUKA,AHSANTE
  7. D

    Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    Nashukuruni wakuu,naona sasa hivi kila mtu anavutia kwake,mungu akipenda nitasoma archtecture
  8. D

    Four figure! Why four not five or three?

    ni kweli,tena sio karibu zote,ni zote zpo in 4 decimal places
  9. D

    Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    Ahsante mkuu kwa ushaur,vp kuhusu mtu ambaye hana kipaj cha kuchora,itamfaa?nadhan umenielewa
  10. D

    Breaking News

    i don knw...
  11. D

    Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
  12. D

    Breaking News

    usingemuelezea mkuu,angetambua hata kesho au wiki ijayo au hata mwakan
Back
Top Bottom