Recent content by doctore.

  1. D

    Help your family to stand on their own

    uombe Mungu uwe na ndugu wenye akili kwani wengine ni mizigo mizito sana.utawasaidia na majungu watakupiga na miradi itakufa.
  2. D

    Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

    kila mtu avae anavyojisikia na asiingiliwe na mtu
  3. D

    Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

    huyu nae anaelekea ukichaa
  4. D

    Tujihadhari na NIGERIANS

    wale jamaa ni hatari sana sijui wametoa wapi tabia za kishetani vile.
  5. D

    Nampenda sana huyu binti kwa kweli

    uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
  6. D

    Soda nzuri!

    hakuna soda nzuri
  7. D

    Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    nilikuwa muumini mzuri sana wa bwana sugu na sijawahi kukosa tape yake yoyote...nakumbuka wimbo wake ndani ya bongo alisema maneno haya... maisha ni kujirusha unataka kuleta zako zipi,maisha yenyewe ni mafupi,ndani ya bongo...hii ilikuwa korasi. kuna kipande anasema... kwako maisha ni...
  8. D

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Baada ya mgomo wa kudai field na kupelekea wanafunzi wapatao mia kusimamishwa masomo,leo chuo kikuu cha dodoma college ya social sciences imefungwa rasmi till further notice.
  9. D

    Mbunge atimuliwa bungeni

    kama ni sheria basi haina budi ifuatwe hadi hapo watakapoamua kubadili
  10. D

    Misukosuko ya bodaboda ulie au ucheke!

    not funny at all
  11. D

    Siasa ya bakwa chuo cha mipango

    siasa yabakwa na sio siasa ya bakwa mkuu.Poleni kwa masaibu hayo.
  12. D

    Kirusi cha SIASA za SISIEM kinavyoitafuna UDOM

    usipende kukurupuka mkuu kwani kwenye hayo mashirika wapo wahitimu wa udom na wanafanya kazi.usipende kuropoka bila kuwa na data.
  13. D

    Waziri kivuli CHADEMA aachia ngazi

    Rais wao kivuli na baraza kivuli wakiongoza nchi kivuli what a joke
Back
Top Bottom