Recent content by DISPLEI

  1. DISPLEI

    Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
  2. DISPLEI

    Naomba kujulishwa TRA

    hili la TRA kama halijakukuta unaweza kulibeza lakini ni kweli wanasumbua wafanyabiashara kiasi cha kuatarisha hata matarajio ya makusanyo ya mbeleni kuwa mashakani. Kuna matukio mengi ya kuweka zuio kwenye accounts za mabenki za makampuni. Kufungia makampuni accounts za benki nalo si jambo...
  3. DISPLEI

    Nini Suluhu ya tatizo la foleni barabarani mvua zikinyesha

    Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
  4. DISPLEI

    RUWASA Mnachelewesha Sana Malipo ya Wakandarasi

    Kuna Kandarasi nyingi za miradi ya maji chini ya RUWASA zinazoendelea na zilizokamilika lakini malipo yanachelewa sana. Watendaji wa RUWASA kuanzia ngazi za wilaya hadi makao makuu hawaonekani kujali machungu wanayoyapata wakandarasi kutumia hela zao kutekeleza maradi hii. Kuna madeni ya...
  5. DISPLEI

    Wagombea Ubunge 2020

    Maslahi nadhani yanaangaliwa kwa mapana yakizingatia unyeti wa Ubunge pia kulinganisha na nchi zingine hasa jirani.!. Suala ni wapiga kura wawe makini na kuhakikisha kwa uwingi huu wa watia nia basi watendee haki nchi hii kwa kupigia kura watu wenye kuonyesha watakuwa wa faida kwenye Ubunge...
  6. DISPLEI

    Tuna akiba ya pesa dollar bilion 5.3

    Ndo hayo ya kuandika bila kuwaza kwa mapana. Kumbuka hata Corona wapinga serikali walitoka mapovu bila kuzingatia kuwa maamuzi ya kiongozi wa nchi yanakuwa yanatazama jambo kwa mapana na yanazingatia taarifa nyingi za siri. Na wanajifanya vipofu wa kutoona dhamira ya serikali ya kusongesha...
  7. DISPLEI

    Wagombea Ubunge 2020

    Nimekutana na watu kadhaa wanaoutaka Ubunge kwa mwaka 2020. Watu hao wako umri wa miaka ya 30 hadi 50. Wana elimu zao za juu lakini unakuta mtu kapigika kweli kweli na ana zaidi ya miaka 10 mtaani. Wengine ni wa kiume hata kupanga chumba hawajaweza wanakula na kuishi kwa wake zao. Wapo hata...
  8. DISPLEI

    Tanzania Exposed By Corona

    Hili sakala la Corona bado linaendelea, hakuna nchi hata moja ambayo tayari imeshatangaza ushindi hatujui kesho ya nchi yoyote. Hali inaweza ikabadirikia nchi yoyote kwa kuwa na maendeleo chanya au hasi. Kilichopo ni wasimamizi wa kila nchi kuhakikisha wanarejea mbinu wanazozitumia ili kuendelea...
  9. DISPLEI

    Tanzania Exposed By Corona

    Kiwango cha wagonjwa wa Corona kupona kwa hapa Tanzania ni kidogo ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Uganda , Rwanda pamoja na kwengine kwingi ukiangalia taarifa zinazorushwa mitandaoni. Kwa hali inavyoenda, kama maambukizi hayatapungua sana, hospitali teule zote zitajaa wangojwa kiasi...
  10. DISPLEI

    OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Kumekuwepo na upandaji wa bei za barakoa ambazo ukiangalia ni za aina moja. Bei nilizosikia ni kuanzia 53,000 na wengine wanatangaza bidhaa ile ile kwa TZS90,000 na yawezekana kuna wanaopandisha zaidi.Na nahisi hata hiyo 53,000 ni bei ya juu. Suala la kujikinga lisiangaliwe kibiashara zaidi...
  11. DISPLEI

    Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

    Kweli umengoea,naona hawa watu hizi Microphones na Camera mbele zao zinawatoa ufahamu. Unatoa maagizo kama vile hukwenda shule na wakati mtu umepewa dhamana kubwa ya serikali!? Kauli zingine inabidi wenye mamlaka za uteuzi waangalie kama viatu walivyowavalisha vinawatosha au la. Ni vizuri...
  12. DISPLEI

    Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Typing Error leo Jumanne January 07, 2020
  13. DISPLEI

    Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Trafic wanafanya kazi nzuri ukizingatia hali ya sasa ya utii wa sheria za barabarani na kupungua kwa idadi ya ajari. Lakini kwa issue ya Kituo cha Mwendo kasi cha Kibo wanaitumia kama chambo cha kupambana na makali ya December/January. Si vyema kuwafanya raia wema vitega uchumi kwa kubambikiza...
  14. DISPLEI

    Kero za Rushwa Trafic kituo cha Mwendo Kasi - Ubungo Kibo

    Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha. kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
  15. DISPLEI

    Uchaguzi wa nyumba ya Kupanga

    Hili nalo neno maji na Luku Kila nyumba kujitegemea.
Back
Top Bottom