Sio gari mheshimiwa, flow sio mbaya, mpaka naisitisha nilikua kwenye 25-35Kg, na ha hapo ikiwa na wiki6
Ushindani not much, kuna butchery nyingine opposite nayo, ambayo ina mda mrefu kiasi.
Kwa anehitaji Kufanya Biashara ya Bucha, naachia bucha maeneo ya kimara mwisho-DAR
-Frem imelipiwa kodi mpaka mwezi 05/2016---- kodi ya miezi 10. Fremu ni kubwaa.
-Mashine ya kukata nyama CAPITAL mpyaa.
-Mizani 2 ya mezani, na mmoja wa Kuning'iniza.
-Freezer ya futi4.
-Iko katika standard ya...
Habari wanajamvi!
Niameamua kujaribu ufugaji wa nguruwe, ila ningependa kuomba ushauri kuhusu mabanda ambayo nimeplan kujenga, Natarajia Kufugia kibamba - Dar es salaam .Kiwanja kina Ukubwa wa 47X29m. Maji yapo ya kutosha.
Na nimekigawa "nusu kwa nusu" kwa marefu katika site plan Kama...
Una uhakika wa hilo unalolisema, je hiyo ilikua ni miaka ghani walikua hawatahiliwi??, umewezaje ku prove kama wewe sio mjaluo??
Hivi lackairo ( LAMECK AIRO OKAMBO), si ni mbunge wa Rorya na Kwao ni UTEGI, na ni MJALUO??, by the way nafikiri origin ni shirati.
Sometimes na we Jaribu kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.