Search results

  1. Decapitator

    Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

    Angalia hiyo ina majibu yote unayohitaji so far about that section: NATGeo Documentary,
  2. Decapitator

    Anehitaji Bucha Kimara Mwisho, Dar

    Sio gari mheshimiwa, flow sio mbaya, mpaka naisitisha nilikua kwenye 25-35Kg, na ha hapo ikiwa na wiki6 Ushindani not much, kuna butchery nyingine opposite nayo, ambayo ina mda mrefu kiasi.
  3. Decapitator

    Anehitaji Bucha Kimara Mwisho, Dar

    Kaka Ipo kimara Mwisho Njia Ya kwenda Bonyokwa. Junction ya Kwenda Midlands.
  4. Decapitator

    Anehitaji Bucha Kimara Mwisho, Dar

    Bosi kodi ni 100K, Laki moja tu, Picha Nitaweka baadae. About offer, i think ni vizuri mtu ukafika ukaona kila kitu, then ndio tukaongea.
  5. Decapitator

    Anehitaji Bucha Kimara Mwisho, Dar

    Kwa anehitaji Kufanya Biashara ya Bucha, naachia bucha maeneo ya kimara mwisho-DAR -Frem imelipiwa kodi mpaka mwezi 05/2016---- kodi ya miezi 10. Fremu ni kubwaa. -Mashine ya kukata nyama CAPITAL mpyaa. -Mizani 2 ya mezani, na mmoja wa Kuning'iniza. -Freezer ya futi4. -Iko katika standard ya...
  6. Decapitator

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    I hope wazoefu watatoa msaada hapa!
  7. Decapitator

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Habari wanajamvi! Niameamua kujaribu ufugaji wa nguruwe, ila ningependa kuomba ushauri kuhusu mabanda ambayo nimeplan kujenga, Natarajia Kufugia kibamba - Dar es salaam .Kiwanja kina Ukubwa wa 47X29m. Maji yapo ya kutosha. Na nimekigawa "nusu kwa nusu" kwa marefu katika site plan Kama...
  8. Decapitator

    Wafungwa wanawezaje kuhimili mihemko yao ya mapenzi wakiwa gerezani?

    You only think of how hard/bad the situation is,,,, if you have options.
  9. Decapitator

    Ushauri wenu muhimu kwa hili tafadhali

    i can't believe kuna watu bado wanashikwa na hizi stupid traps,
  10. Decapitator

    Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

    Naona tuko mirembe kumbe!
  11. Decapitator

    Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

    Una uhakika wa hilo unalolisema, je hiyo ilikua ni miaka ghani walikua hawatahiliwi??, umewezaje ku prove kama wewe sio mjaluo?? Hivi lackairo ( LAMECK AIRO OKAMBO), si ni mbunge wa Rorya na Kwao ni UTEGI, na ni MJALUO??, by the way nafikiri origin ni shirati. Sometimes na we Jaribu kutoa...
  12. Decapitator

    Natafuta Girlfriend

    Nenda Meeda, Corner bar na Bilicanaz wamejaaa, utapata hata under 15 ukitaka!
  13. Decapitator

    Foleni Dar es Salaam

    Dar es salaam wengi ni "waendesha magari" sio madereva, wengi hawaheshimu taa, ni tatizo
  14. Decapitator

    Ningekuwa Waziri wa Uchukuzi, ningefanya haya

    Hujakamilika kua waziri wa nchi hii, hata mlungula haujaujua!
  15. Decapitator

    Ufike muda wabongo tutafute shughuli ya kufanya

    1. We umewazaje kujua kwamba kuna makundi kama hayo kama na we sio mfuasi? 2. Unawezaje kujua kua mtu alikua online for 24hrs, kama na we hukuwepo? 3. Wewe ni mzee? Ushauri ni mzuri, ila kumbuka kutoa tongo tongo kwenye Jicho lako, kabla ya kumuambia mtu kanawe uso.
  16. Decapitator

    Utumbo wa kuku!

    Huwezi kuelewa kwa sababu haikuwahi kukutokea, kuna watu zimewakuza hizo hizo, na saa hizi ni "watu fulani". They never had option You don't need rocket science to understand that, i guess. You should be thankful, you had a life.
  17. Decapitator

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Hivi mods, Hivi vitu hamvioni??... toa kabisa huu uchafu.
  18. Decapitator

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Aaah hapana, ni kipimo tuu cha ukubwa wa koromeo!
  19. Decapitator

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Mpe hiyo V8 alaf, ukachukue ila Range Rover mpya uliyoagiza ambayo iko bandarini!, iweeeeeeh!
Back
Top Bottom