Anehitaji Bucha Kimara Mwisho, Dar

Decapitator

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
311
79
Kwa anehitaji Kufanya Biashara ya Bucha, naachia bucha maeneo ya kimara mwisho-DAR

-Frem imelipiwa kodi mpaka mwezi 05/2016---- kodi ya miezi 10. Fremu ni kubwaa.
-Mashine ya kukata nyama CAPITAL mpyaa.
-Mizani 2 ya mezani, na mmoja wa Kuning'iniza.
-Freezer ya futi4.
-Iko katika standard ya kisasa.

Note: Nahamishia Biashara Mkoani.

Mwenye uhitaji Ani PM.
 
weka picha, tuambie na ofa yako ni sh. ngapi. Na pango hapo unalipia sh. ngapi?
 
Bosi kodi ni 100K, Laki moja tu, Picha Nitaweka baadae.
About offer, i think ni vizuri mtu ukafika ukaona kila kitu, then ndio tukaongea.

weka picha, tuambie na ofa yako ni sh. ngapi. Na pango hapo unalipia sh. ngapi?
 
Kwa anehitaji Kufanya Biashara ya Bucha, naachia bucha maeneo ya kimara mwisho-DAR

-Frem imelipiwa kodi mpaka mwezi 05/2016---- kodi ya miezi 10. Fremu ni kubwaa.
-Mashine ya kukata nyama CAPITAL mpyaa.
-Mizani 2 ya mezani, na mmoja wa Kuning'iniza.
-Freezer ya futi4.
-Iko katika standard ya kisasa.

Note: Nahamishia Biashara Mkoani.

Mwenye uhitaji Ani PM.

Eneo gani aisee, mi naweza kulipa stahili zako zote, lakini nibadili biashara, niambie eneo exactly mi nataka Frem ya biashara ya Jumla

Nifahamishe tafadhali.
 
Kaka ungeweka hata free cash flow yako ikoje, kwamba at least nauza kilo 10 kwa siku, ushindaji upo lakini sio wajuu. Unauza business kaka kama unaza gari?
 
Kaka Ipo kimara Mwisho Njia Ya kwenda Bonyokwa. Junction ya Kwenda Midlands.
 
Kaka ungeweka hata free cash flow yako ikoje, kwamba at least nauza kilo 10 kwa siku, ushindaji upo lakini sio wajuu. Unauza business kaka kama unaza gari?

Sio gari mheshimiwa, flow sio mbaya, mpaka naisitisha nilikua kwenye 25-35Kg, na ha hapo ikiwa na wiki6
Ushindani not much, kuna butchery nyingine opposite nayo, ambayo ina mda mrefu kiasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom