Ningependa kujua kweli hakuna Sheria inayoweza kuwabana hawa wakandarasi wetu jamani tunaharibu magari yaani kwanini wakate vipande vya barabara halafu hawafanyi marekebisho eneo la njia Ya Mbezi kawe kupita kipande cha kwa Warioba
Hivi hawa wazee wanaelewa chochote hapa maana nahisi kama amekuja kutuambia tulilolisikia Bunge la Jamhuri mwezi wa Novemba 2014. Tupe maamuzi yako sio porojo na sarakasi zisizo kuwa na maana yeyote half of what your saying alishasema Pinda na Muhongo bungeni
Sasa Kasheshe hata kusoma hujui???
4) Directors of previously licensed companies whose licenses were revoked in the last five years should not have any stake in the company;
5) Directors of already licensed companies should not have any stake in the company;
Idea yako ya kujiunga ulisoma...
Kwanini watanzania tunakuwa wabishi hivi na ukweli uko wazi jamani??? yaani kuna watanzania wanadiriki kusema its a propaganda kwa lipi hasa wazungu walitake kwenu si muende kwenye hii link moja kwa moja muone wachina waishio nchini wakikiri wazi wazi kuwa wanapitishia mzigo zanzibar na kwanini...
Picha za ndege hiyo hii hapa nakumbuka nilikuwa natua nikajiuliza mbona hii ndege ya kivita iko hapa kulikoni? ila kulikuwa na malori makubwa tuu yapo nayo niliyaona na kulikuwa na usalama mkubwa sana Kilimanjaro International Airport siku hiyo ndege hii ni U.A.E Air Force
Tuwe wakweli how much do you guys earn kupitia migongo ya vijana waliosoma kupitia shida kibao kuweka miguu ndani ya ndoo,halafu shirika kubwa kama MABENKI yetu yanawapatia 2mil unampatia mtu 800 hulipi benefits zozote, wala mkataba hauko open kumjenga mfanyakazi,as long nyie mnavuna hela za...
Hizi ni Picha za Ndege ya Taifa iliyokuwa inambeba Mh.Raisi wa Jamhuri Ya Tanzania kutoka enzi hizo tukiwa na Fokker tukaendelea kuwa na Foker hapo baadae tukaipa jina 5H - CCM na baadae ikaitwa 5H-ONE. Jeshi la Marekani wanazo pia kwa ajili ya viongozi wao kwa kwenda nchi zingine. Ndege 5H-ONE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.