fanya mpango mwanao asome ILBORU maana wako fiti ile mbaya, ila private kwenda government ni mziki mnene, ila ukimpeleka TENGERU BOYS itakuwa pouwa sana maana wao wako fiti kuliko ILBORU na inakuwaga kwenye 20 bora kitaifa
ina msaada, kwani unapomaliza kidato cha sita unaenda moja kwa moja chuo kuanza degree halafu ukipitia kidato cha sita unaonekana educate person hata kupata kazi ni rahisi sana tofauti na asiyepitia kidato cha sita
komaa na Advnce, achana chuo utapoteza hela zako bure halafu elimu yenyewe diploma, piga kitabu advance kwa sababu ukimaliza utaenda degree direct na utasoma kilaini maana kutakuwa na mkopo.
kwl mkuu, shule nyingi za zaman hasa ilboru, mzumbe, kibaha, tabora boy, tabora girls, kilakala na msalato siku hz zmekosa ufuatiliaji mzur na watoto wengi wanaopelekwa hapo wengi ni mabogus coz watoto wengine wasio na vipaji vya akil huamia hapo na kuleta aibu kwenye shule hizo hasa za vipaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.