Search results

  1. D

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    jembe mmoja anaitwa KIDUA from babati-manyara
  2. D

    Shule nzuri kwa wavulana Arusha

    fanya mpango mwanao asome ILBORU maana wako fiti ile mbaya, ila private kwenda government ni mziki mnene, ila ukimpeleka TENGERU BOYS itakuwa pouwa sana maana wao wako fiti kuliko ILBORU na inakuwaga kwenye 20 bora kitaifa
  3. D

    Msaada basic maths, anayeweza kuprove fomula hizi

    n(AUB)=n(A)+n(B)-n(AnB) hence proved...
  4. D

    umuhim wa kidato cha sita.

    ina msaada, kwani unapomaliza kidato cha sita unaenda moja kwa moja chuo kuanza degree halafu ukipitia kidato cha sita unaonekana educate person hata kupata kazi ni rahisi sana tofauti na asiyepitia kidato cha sita
  5. D

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    komaa na Advnce, achana chuo utapoteza hela zako bure halafu elimu yenyewe diploma, piga kitabu advance kwa sababu ukimaliza utaenda degree direct na utasoma kilaini maana kutakuwa na mkopo.
  6. D

    Msaada:Shule ya Advance Mbeya

    hapana, ni ya government, kwan ww ulikuwa unahitaji ya private?
  7. D

    Shule za miaka ya 1980 na 1990 mwanzoni

    kwl mkuu, shule nyingi za zaman hasa ilboru, mzumbe, kibaha, tabora boy, tabora girls, kilakala na msalato siku hz zmekosa ufuatiliaji mzur na watoto wengi wanaopelekwa hapo wengi ni mabogus coz watoto wengine wasio na vipaji vya akil huamia hapo na kuleta aibu kwenye shule hizo hasa za vipaji...
  8. D

    Msaada:Shule ya Advance Mbeya

    kuna shule inaitwa Iyunga Technical Sec. School wako fiti ile mbaya
  9. D

    Shule za advance

    Ili mtu apangwe advance special school combi za science lazma apate DISTINCTION ya ngapi na grade gani kwenye masomo ya combi?
  10. D

    Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

    kweli hakuna kitu kigumu, cha msingi ni kujipanga, PCB ni rahisi sana
Back
Top Bottom