Recent content by daniel lufumbula

  1. D

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Mdogo wangu Robert,, umeowa? Kweli,,, oa kwaza utatuletea mlejesho..
  2. D

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Mkuuu?... Huko upande wa pili wanaish binadam hawahawa? Au Kuna jamii ingne huko?...
  3. D

    Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

    Tafuta hela kaka,,,, umeshajua na utajili wao? Daaa wabongo bana,,, sijuw hatunaga Kaz za kufanya!!!
  4. D

    Watanzania tumeridhika kuishi na shida ya umeme kwa kiwango hiki?

    Sio Leo,,, mpk wazee wetu waishe wote tubaki ss ndo tuwe wazee utaona,, huu ujinga hautavumilika..
  5. D

    Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Ko ulifurahia vyet feki kuwa na ajira na kutohudumia watu Kwa ufanisi coz hakuna professional ili halal wenye vyet orgnal na wasomi wapo tu wamekaaa??? Matango nyanya kbsa ww,, sijuw na familia yako unaileaje,, tupo weng matajili na wasomi na still tulimpenda magu,,, yule ni mwamba...
  6. D

    Enyi Wazazi kuweni makini katika Malezi ya watoto wenu

    Sema ulieandika ni ke,, ungekuwa me,, ningekwambia neno gumu sana,,, ulitaka baba afanyeje Sasa ambembeleze be kutoa password? Haya Uzi wako unaonesha kabsa ww ni Nan na unataka wtt wetu tuswapige Bali tusupot huo ushetan,,,
  7. D

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Mkuu uwe tu na uvumiliv ila anakupenda anataka ajuwe atention yako,,, endelea kumbemneleza tu ipo sik utamula,, kubwa mjali kile atakacho na uwe nae mara Kwa mara,, mwambie makusud yako ni nn kwake hasa upatapo mda wa kuwa nae,,,, muonyeshe unampenda na kumjali,, mwambie hutaki kumtoa bkra Kwa...
  8. D

    Cha asubuhi kitamu

    Tupo wengi,,, hata mm spend kabsa,,, et chomeka na kuanza daaa,,, asbh mm hapana
  9. D

    Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Browser ip? zipo nying mkuu
  10. D

    Video: Bodaboda asababisha Ajali

    Naifungua kwangu haikubali nifanyeje
Back
Top Bottom