Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

Uchumi wa Russia ni 1.8 trillion usd GDP, uchumi wa NATO ni zaidi ya trillion 45 usd GDP. Mambo mengine ni kufurahisha baraza tu
Kazi ya bomu ni kuvunja vunja uchumi wakati wa vita kubwa tena kwa nchi zenye nguvu usijidanganye na uchumi uliokuwa nao kabla ya vita ....maana vita vikianza wote mnakuwa mafukara ndiyo mnatafuta mshindi
 
Putin ana matatizo ya kisaikolojia sana. Kila akilala huota zile enzi za Soviet Union wakati Urusi ilikuwa ni taifa linaloogopwa. Ile vita harama aliyoanzisha Bush dhidi ya Iraki ambapo alijaribu kuwa mmoja wa viongozi wa dunia kutoa maoni yake lakini akapuuzwa, jambo ambalo halikuwa linafanyika enzi za Soviet Union lilimchoma sana moyo hadi leo hii. Hata vita yake ya kuvamia Ukraine kwa madai ya ku-"demilitarize and denazify" aliijenga kwa kuiga uvamizi wa Bush Iraq aliosema lengo lilikuwa ni ku-"disarm and debathify." Ana bahati sana Marekani leo inaongozwa na mtu anayependa sana diplomacy; angefanya hivyo enzi za Bush (baba na mwana) au Reagan, Urusi ingekuwa matatizoni sana sasa hivi.
Bushi angekuwepo angefanyaje?
Yakuwa angeivamia Urusi na kupigana na Urusi ?
 
Ukiona kicheche unamsogelea na unamtishia wala haogopi ujue kuna shimo karibu,Urusi kwa maneno haya kutakuwa na back up nyuma yake kama nchi ya china na north korea.
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni

Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Russia hana Ubavu wa kupambana na uingereza. Wale wazeee Javelin, yale madude yaliyosambaratisha ule msafara wa vifaru
 
Urusi ameshatangaza sasa tusubiri kama NATO wataingiza vikosi vyao Ukraine kama walivyosema.

BREAKING:

Russia will go to war with NATO if troops are deployed to Ukraine, says the Kremlin.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hana tena kitu huyu anajikaza kisabuni tu, alisema nchi itakayoisaidia Ukraine silaha ataanza naye vita kubwa akafuia, akasema Finland wakijiunga na NATO atashambulia kitovu cha ulaya akafua, akasema vita ya Ukraine ataimaliza kwa saa 72 akafuia, Akasema Ukraine wakijiunga EU ataanzisha vita ya nuclear akafuia, akasema Ukraine wakijaribu tu kuomba kujiunga na NATO ataanza vita ya nuclear akafuia, huo ujumbe kwamba NATO isiingie vitani anautoa kwa woga sana anaomba iwe hivyo hivyo mana russia litabaki vumbi tupu,

Sasa kama vita na Taifa la Ukraine tu amefika hapa alipo sasa unaingia mwaka wa 3 hajafanikiwa kumsimamisha kibaraka wake Kyiv, atakujaweza vipi vita na nchi 32 za NATO ata kwa dakika moja tu kama NATO wataamua kungiza majeshi yao???

Putin aliishi kwa kujigamba sana na US walikuwa na hofu naye kabla ya vita ya Ukraine lakini sasa jamaa wanamjua mpaka anapolala ni dhaifu kuliko hata Uganda na Ruwanda. vita ya ardhini Ukraine tu imemtoa mavi ameamua kutoka Kyiv na kurudi zake bahari nyeusi hadi leo hii ataweza vipi vita kenge huyu na NATO? Ni huruma za US tu kupata lawama kwa kulisambaratisha taifa la russia lakini naamini NATO wanatafuta mazingira mazuri zaidi ili wakimshughulikia isionekane kaonewa ndicho kilichopo tu.
 
Unamsifia sana USA. Na kama unasema USA anaweza mpiga RUSSIA na yumo ndani ya NATO kwa nini NATO wasiweze kumpiga Russia?

Amini nakwambia Hakuna taifa lolote ndani ya NATO linaweza kushinda vita dhidi ya Russia. Hata wakiungana as NATO hawawezi.

Kwanza hiyo NATO yao ilianzishwa baada ya kutambua RUSSIA kawazidi na hawamuwezi.

Kwenye vita vya movie uwenda ndo NATO watashinda na propaganda
Sasa mkuu vita na Taifa la Ukraine tu limechukua sasa 3 years almost Putin hajatoboa, na hapo kabla mulikuwa munasema humu kwamna vita ya Ukraine na NATO wako ndani, mbona leo Putini anakiri NATO wako nje na kwamba wakiingia na yeye ataanzisha vita NATO,

Hizi ni kauli woga kwa Putin, Ukraine peke yake Zelensky anahitaji muda mdogo tu kushinda vita dhidi ya Russia vipi Putin ataweza pambana na mataifa 32 ata kwa dakika 1 tu?? vita ni sayansi putin amefeli 100%, NATO saivi ni wawo tu kuamua kummaliza huyu jamaa lakini wameona kwanza wamdhalilishe kiuchumi putin hana kitu tena anaazima silaha kutoka korea jeshi lake karibu nusu limeenda na maji
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Kwamba miji ya USA haiwezi kuunguzwa na Sihala za Nyuklia siyo!! na kwamba USA siyo Sehemu ya NATO siyo! hatari kweli kweli. Mahaba yaliyipotiliza siyo mazuri hata siku moja.
 
Putin ana matatizo ya kisaikolojia sana. Kila akilala huota zile enzi za Soviet Union wakati Urusi ilikuwa ni taifa linaloogopwa. Ile vita harama aliyoanzisha Bush dhidi ya Iraki ambapo alijaribu kuwa mmoja wa viongozi wa dunia kutoa maoni yake lakini akapuuzwa, jambo ambalo halikuwa linafanyika enzi za Soviet Union lilimchoma sana moyo hadi leo hii. Hata vita yake ya kuvamia Ukraine kwa madai ya ku-"demilitarize and denazify" aliijenga kwa kuiga uvamizi wa Bush Iraq aliosema lengo lilikuwa ni ku-"disarm and debathify." Ana bahati sana Marekani leo inaongozwa na mtu anayependa sana diplomacy; angefanya hivyo enzi za Bush (baba na mwana) au Reagan, Urusi ingekuwa matatizoni sana sasa hivi.
biden ndo anapenda diplomacy?
 
Hana tena kitu huyu anajikaza kisabuni tu, alisema nchi itakayoisaidia Ukraine silaha ataanza naye vita kubwa akafuia, akasema Finland wakijiunga na NATO atashambulia kitovu cha ulaya akafua, akasema vita ya Ukraine ataimaliza kwa saa 72 akafuia, Akasema Ukraine wakijiunga EU ataanzisha vita ya nuclear akafuia, akasema Ukraine wakijaribu tu kuomba kujiunga na NATO ataanza vita ya nuclear akafuia, huo ujumbe kwamba NATO isiingie vitani anautoa kwa woga sana anaomba iwe hivyo hivyo mana russia litabaki vumbi tupu,

Sasa kama vita na Taifa la Ukraine tu amefika hapa alipo sasa unaingia mwaka wa 3 hajafanikiwa kumsimamisha kibaraka wake Kyiv, atakujaweza vipi vita na nchi 32 za NATO ata kwa dakika moja tu kama NATO wataamua kungiza majeshi yao???

Putin aliishi kwa kujigamba sana na US walikuwa na hofu naye kabla ya vita ya Ukraine lakini sasa jamaa wanamjua mpaka anapolala ni dhaifu kuliko hata Uganda na Ruwanda. vita ya ardhini Ukraine tu imemtoa mavi ameamua kutoka Kyiv na kurudi zake bahari nyeusi hadi leo hii ataweza vipi vita kenge huyu na NATO? Ni huruma za US tu kupata lawama kwa kulisambaratisha taifa la russia lakini naamini NATO wanatafuta mazingira mazuri zaidi ili wakimshughulikia isionekane kaonewa ndicho kilichopo tu.
huna akili Urusi angekua dhaifu hao nato wangekua washaingia hadi moscow sahiv
 
Sasa mkuu vita na Taifa la Ukraine tu limechukua sasa 3 years almost Putin hajatoboa, na hapo kabla mulikuwa munasema humu kwamna vita ya Ukraine na NATO wako ndani, mbona leo Putini anakiri NATO wako nje na kwamba wakiingia na yeye ataanzisha vita NATO,

Hizi ni kauli woga kwa Putin, Ukraine peke yake Zelensky anahitaji muda mdogo tu kushinda vita dhidi ya Russia vipi Putin ataweza pambana na mataifa 32 ata kwa dakika 1 tu?? vita ni sayansi putin amefeli 100%, NATO saivi ni wawo tu kuamua kummaliza huyu jamaa lakini wameona kwanza wamdhalilishe kiuchumi putin hana kitu tena anaazima silaha kutoka korea jeshi lake karibu nusu limeenda na maji
Israel, USA, GERMAN, UK, FRANCE WAMECHUKUA MIEZI MINGAPI KUPIGANA NA HAMAS ambao hawana kifaru/ndge hata kimoja?
 
Hana tena kitu huyu anajikaza kisabuni tu, alisema nchi itakayoisaidia Ukraine silaha ataanza naye vita kubwa akafuia, akasema Finland wakijiunga na NATO atashambulia kitovu cha ulaya akafua, akasema vita ya Ukraine ataimaliza kwa saa 72 akafuia, Akasema Ukraine wakijiunga EU ataanzisha vita ya nuclear akafuia, akasema Ukraine wakijaribu tu kuomba kujiunga na NATO ataanza vita ya nuclear akafuia, huo ujumbe kwamba NATO isiingie vitani anautoa kwa woga sana anaomba iwe hivyo hivyo mana russia litabaki vumbi tupu,

Sasa kama vita na Taifa la Ukraine tu amefika hapa alipo sasa unaingia mwaka wa 3 hajafanikiwa kumsimamisha kibaraka wake Kyiv, atakujaweza vipi vita na nchi 32 za NATO ata kwa dakika moja tu kama NATO wataamua kungiza majeshi yao???

Putin aliishi kwa kujigamba sana na US walikuwa na hofu naye kabla ya vita ya Ukraine lakini sasa jamaa wanamjua mpaka anapolala ni dhaifu kuliko hata Uganda na Ruwanda. vita ya ardhini Ukraine tu imemtoa mavi ameamua kutoka Kyiv na kurudi zake bahari nyeusi hadi leo hii ataweza vipi vita kenge huyu na NATO? Ni huruma za US tu kupata lawama kwa kulisambaratisha taifa la russia lakini naamini NATO wanatafuta mazingira mazuri zaidi ili wakimshughulikia isionekane kaonewa ndicho kilichopo tu.
Finland kajiunga kama ajajiunga tu. Mwanaume alishawambia wajiunge tu lakini NATO base na kulundika silaha za NATO hapo Finland ni marufuku
 
Back
Top Bottom