Recent content by Dalali Mkombozi

  1. Dalali Mkombozi

    Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

    Kumekuwa na mtazamo hasi ya kuwa " mtu asipojua Kuongea vizuri kiingereza basi watu wanamcheka na kumuona mjinga ata kama mtu uyo ni msomi sana ( daktari n.k ). Mimi naona tunakosea sana, Kujua ama kutokujua lugha Fulani haiwezi kuwa kigezo cha kuitwa msomi au mjinga. Kiingereza ni lugha kubwa...
  2. Dalali Mkombozi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wanahasira hawa walinusurika kushuka daraja kwaiyo msimu huu hawataki mchezo kabisa
  3. Dalali Mkombozi

    Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

    Nyinyi endeleeni kukesha kwenye mitandao kumponda, mwenzenu anaendelea kula dollar ... Atoke wapi aende wapi sio ishu, watu wanaangalia pesa . Mnaoponda subirini siku akikosa timu ulaya ... Fenerbance ni timu ina historian kubwa ulaya tena uenda zaidi ya Astonvilla.
  4. Dalali Mkombozi

    Belarus inaelekea kuwa kama Venezuela na baada ya hapo ni Tanzania?

    Lisu anawakilisha kundi la watu, watu wanaodai haki na Uhuru ..
  5. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Suala la kukosa umeme linaenda kuwa historia, vimebaki vijiji elfu 2 kufikiwa na umeme, kwa mujibu wa CCM ! Mitano mingine kwa Magufuri..
  6. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Umetumia Kompyuta au Simu? Tunaotumia simu inasumbua sana, nafikili labda kwasababu screen size ya simu ni ndogo.
  7. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Ata watu wanaofungua akaunti mpya wanapata tatizo kama ilo, tamisemi wapo kimya sijui lengo lao nini?
  8. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Ikiwa una Kitambulisho cha taifa chenye majina matatu, je kuna haja ya kwenda mahakamani kuapa?
  9. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Utaratibu wa kisheria wa kuongeza jina la tatu kama vyeti vina majina mawili, uko vipi? Anaejua atujuze tafadhali.
  10. Dalali Mkombozi

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Utumishi wameweka ivyo vigezo ila tamisemi hawajaweka icho kigezo cha ku-certify..
Back
Top Bottom