Kumekuwa na mtazamo hasi ya kuwa " mtu asipojua Kuongea vizuri kiingereza basi watu wanamcheka na kumuona mjinga ata kama mtu uyo ni msomi sana ( daktari n.k ).
Mimi naona tunakosea sana, Kujua ama kutokujua lugha Fulani haiwezi kuwa kigezo cha kuitwa msomi au mjinga. Kiingereza ni lugha kubwa...
Nyinyi endeleeni kukesha kwenye mitandao kumponda, mwenzenu anaendelea kula dollar ...
Atoke wapi aende wapi sio ishu, watu wanaangalia pesa .
Mnaoponda subirini siku akikosa timu ulaya ... Fenerbance ni timu ina historian kubwa ulaya tena uenda zaidi ya Astonvilla.
Viwanja vimepimwa, vipo ukubwa tofauti tofauti. Kuna Kiwanja cha 450 sqm , 500sqm, 700sqm n.k
Ukinunua unasaidiwa kupata hati miliki.
Bei Tsh 18,000 Kwa Mita moja ya Mraba.
Naanza na Usemi usemao " Mwenye macho aambiwi tazama" Nina imani sote tuna macho na kwanjia moja au nyingine tumepata kujionea kile kinachofanywa na Raisi wetu Dr. John Pombe Magufuli
Licha ya kuhakikisha uchumi wetu unapanda lakini pia jitihada zake za kujenga taifa linalojitemea tunaziona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.