Recent content by coyyal

  1. C

    Naomba kujua kuhusu mafao ya NSSF

    na kadi pia inabidi ubadilishiwe upatiwe smart card kama unayo ya zamani, jamaa kwa kweli ni matata sana, kabrasha zako zikiwa sawa unaambiwa urudi baada ya wiki mbili waverify hizo kabrasha zako kama zipo sawa unapewa siku 21 ndio uje kuchukua cheki yako, mimi nimeacha kazi september mpaka leo...
  2. C

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    Tupe tathmini na ushahidi wa kuwa ameteuwa waislamu katika wizara zote muhimu, Wacha uchochezi na ubwege wewe, Nyepesi hoyeeee,
  3. C

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    Slaa ni mdini hebu someni post ya kwanza, dogo umejisahau umemwaga mchele kwenye jamvi,Sunzu udini haufai utaipeleka nchi pabaya, Chadema iteue mgombea mwengine na sio Slaa mwizi wa wake za watu na mdini,
  4. C

    Nyoka-DStv

    Wacha woga, Nchi ya wezi hii
  5. C

    Nyoka-DStv

    Kufyonza dstv wasiliana na mimi, Only one time payment, The rest ni kucheka tu
  6. C

    Laptop-dell mpya inauzwa

    Nina laptop Sina ya dell mpya nauza 500$ Ni pm fasta
  7. C

    happy hour

    Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure
  8. C

    schneyder-Man united

    Schneyder kutua Man January
  9. C

    escudo inauzwa 10m

    Wadau nina Escudo mpya namba BVV 10m. Wasiliana nami,
  10. C

    Guys What series are you watching ryt now?

    Mimi ninayo harpers island, nayo ni ya ukweli pia
  11. C

    Guys What series are you watching ryt now?

    Mkuu unazo za kutosha, Naomba nikutafute ili unipatie kadhaa
Back
Top Bottom