Iko wap?
Ni wapi huko jamani
Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure
Kwanza nina wasiwasi hata wewe hupajui....ngoja nanii atanileta we sikuamini hata kidogodogo...njoo nikupeleke...
lol...usisikie bure...ohooo...karibu huku ndio TANZANIA bana kila siku ni weekend...
Kwanza nina wasiwasi hata wewe hupajui....ngoja nanii atanileta we sikuamini hata kidogo
Hahahahaaaa kwani we humjui??Amy au SL?nisipajue mahali naamkia hapo...
Hahahahaaaa kwani we humjui??
Acha kutuchanganya na Nitonye aisee maana utaleta hatari
Sijui niende. . . Na soda pia?
Ni wapi huko jamani
Hahahahaaaa kwani we humjui??
Acha kutuchanganya na Nitonye aisee maana utaleta hatari
Ni wapi huko jamani
Ni kweli kabisa...mmiliki wa Calabash ni marehemu!Jamani si kuna kipindi thread ilianzishwa humu kuwa mmiliki wa calabash amefariki? Sasa ni huyo huyo anafanyiwa birthday au alierithishwa umiliki?
Ntakupeleka dear, sema bagah hajakosea ndo hapo hapo..