Recent content by Comrade Kip

  1. C

    Mwanaume unamilikije gari huku unaishi kwenu?

    Gari ni usafiri tuu.... Shida uku kwetu tunayaabudu
  2. C

    Kuna uhusiano wowote wa Jesuits na Knights katika huduma mbalimbali duniani?

    Ni kweli knights are linked with jesuits.. According to some publications nlizosoma...ni story ndefu but iko net ukisearch
  3. C

    Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Tunashindwa kutambua ssi tunawaitaji kuliko wanavotuitaji... No matter what you call them... That fact wont change.. Ni vzuri tukawaskiliza... They have too much power
  4. C

    Kuwait yatoa msaada wa Tsh 110 bilioni kwa ajili ya kujenga barabara mkoani Tabora

    [emoji23][emoji23][emoji23]viwanda oyeee!!! adi dustbin tunapewa msaada!!! aibuu kubwa
  5. C

    The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

    Waasili tumeacha asili..... na muasili haachi asili, akiacha asili hana akili...
  6. C

    Wachumi Kenya wadai reli mpya haitailipa nchi hiyo, na yenyewe Itajiuza kwa China kulipa deni lake?

    which produce? unajenga reli sawa... iyo production ipo...kwa upande wa usafirishaji mizigo... barabara kwa sasa zinajitosheleza...
  7. C

    Wachumi Kenya wadai reli mpya haitailipa nchi hiyo, na yenyewe Itajiuza kwa China kulipa deni lake?

    wewe ndo una poor thinking!! unatambua matairi ya magari ni kutoka na rubber plant, kamaba za lift na parts za magari ni sisal, unajua bei ya soya beans kwenye soko la dunia wewe, unajua canada wanaingiza shingapi kwenye timber exports..... acha kukariri...kilimo sio matikiti na nyanya
  8. C

    Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

    haitawezekani,,, italeta suala la vituo haramu/ feki vya mafuta.,,
  9. C

    Sababu za Wanafunzi wengi kufeli somo la Hisabati

    its more physchological, kama vitabu vimekosewa, hao wanaopata 100 wasingekuepo na kushinda tuzo za additional maths and such ... watu wanakaririshwa na kuaminishwa hesabu ni ngumu hivyo kutoitilia mkazo na kutojali akifeli.
  10. C

    Magufuli: Wachumi wetu hawafikirii, wanawaza kupandisha jina langu la pombe tu

    hahahaha,..wewe ndo umekurupuka... njia moja yakuhamsaisha ujenzi wa viwanda ni through introducing capital allowances to assets purchased for factory purposes.. njia ingne ni kukubaliana na wawawekezaji kutolipa kodi ama kupunguziwa..e g instead of paying 30% corporate tax inaambiwa ilipe lets...
  11. C

    Prison breake vs into the bad land

    yaah... not a fair competition.. na pia watu wengi hawaijui into the badlands
  12. C

    Magufuli: Wachumi wetu hawafikirii, wanawaza kupandisha jina langu la pombe tu

    njia mpya naona ni kodi tuu.... story ya viwanda imeenda na maji..
  13. C

    Kufaru kipya cha Urusi cha wakosesha usingizi NATO

    hahahaha.... Aliekuambia iyo story mpaka umeiamini nampa hongera zake..
  14. C

    Sio bangi hii ni ubunifu tu

    wa nne na wa tano utasema ilikua mashindano,..sijui nani zaidi apo[emoji23]
Back
Top Bottom