Recent content by Classic 1

  1. C

    What is Tarot? Let's Explore!

    "To change your life first change your picture." That is the essence of learning tarot. You may ask what is tarot? A tarot It is collection of pictures that gives meaning or states of our lives. So, by interpreting these pictures/ cards can help to learn the "hidden meanings" of our lives -...
  2. C

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Umeongea vema. Halafu sijui mods wako wapi na kwanini wanawaacha hawa watu wanaoleta mizaha kwenye kila jambo. Hili sio jukwaa la cheap jokes.
  3. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Be open minded. False knowledge is more dangerous than ignorance.
  4. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Umejibu vema, yeye badala ya kujifunza kwa wengine anajifanya mjuaji.
  5. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Kariakoo ndio sehemu sahihi.
  6. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Inategemeana, unataka used or new? Kama ni new agiza kutoka China. Kama ni used agiza Dubai. Kingine unataka brand gani?
  7. C

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kwa hiyo kiuchumi Zambia ipo juu yetu!? Au Kule Zambia wanaishi wazungu tuu?
  8. C

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Starlink internet yenye kasi sasa imekuwa approved rasmi na serikali ya Zambia. Huku kwetu....!?
  9. C

    Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

    Hakuna uongo hapo, tatizo unatumia reasoning pekee ambayo ni weak part ktk human mind. Haya Mambo yanahitaji jicho la ziada kuamini. Binafsi naamini.
  10. C

    Watanzania na Paypal

    Ungechukua hata a minute ku-Google au ku- search hata hapa JF kuna threads kadhaa zimeshatoa hiyo "elimu" unayotaka tena kwa kiswahili miaka kadhaa iliyopita. So, sihitaji kuwapotezea muda wasomaji wanaojua ninachosema. SOMA paragraph ya kwanza sijaandika hivyo accidentally. Jiongeze japo kidogo...
  11. C

    Watanzania na Paypal

    Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu. Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna aliyethubutu kwenda extra mile. Wanaigana na kuzunguka hapohapo kila siku. Hivi huwa wanasoma reviews na...
  12. C

    FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Kwa yeboyebo sijawahi pata customer, nitauliza bei then nitakuletea feedback.
  13. C

    FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    New Arrivals, Now in stock Women's shoes, hizi ni baadhi tu karibuni. MOQ: 36
Back
Top Bottom