Recent content by clasi

  1. C

    Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

    Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
  2. C

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Tujitahidi vijana wapande ndege wakiwa bado mapema
  3. C

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Suzuki Grand ESCUDO ni gari aisee. Haijawahi kunisumbua hata kama naenda porini huko. Nikikuta barabara mbovu na mchanga sijui tope naweka 4WD bhaasi
  4. C

    Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

    4wD ndo gari ilipo
  5. C

    Gari gani nzuri ya kupigia harakati ngumu kati ya hizi?

    Hata hizo old naona bado zipo chini ukilinganisha na SUV nyingi
Back
Top Bottom