Recent content by chuku

  1. C

    Waheshimiwa wabunge kuongeza siku moja(1)wanalipwa posho,hiyo siku.

    Wana JF,Waheshimiwa wabunge walisema wamepunguza siku za vikao,ili kupunguza matumi ya pesa ya walipa kodi sasa kwa nini wanapo ongeza siku wasisamehe hiyo posho kama kweli hawataki kuvuja sana pesa ya walipa kodi.
  2. C

    nauza rozera

    wakati mwingine Mtu unakwamisha mwenyewe biashara yako kwani naona wengi haujui Rozera ni kitu gani.
  3. C

    Nitumeje Nyimbo hapa JF

    utalamu huo mi sina kabisa.
  4. C

    Bajeti ya wizara ya kilimo na chakula inajadiliwa

    Wana JF,wizara ya kilimo ndio hiyooooooooo sijui tutegemee nini,mi ninacho ona watanzania tunajua kutengeneza Majina mazuri,hicho kilimo kwanza kitakuwepo kweli au maneno.hebu semeni juu ya hili.
  5. C

    Nelson Mandela turns 91

    hongela MADIBA.
  6. C

    Ngumi za Tanzania zinaelekea wapi.

    Wana JF.juzi Jumapili ya Tarehe 20/7/09.Kupitia ITV niliona Mpambano wa ngumi kati ya jamaa mmoja mnene kidogo kutoka Zanziba na mpinzani wake kutoka Bara,Ilisemekana kuwa wale mabondia ni MASUPER STAR,cha kusahangazi Mchezo ukaonekana kama vile wa vichocholoni,hasa huyu jamaa wa bara kacheza...
  7. C

    Intergrated Accounting Package needed

    Mbona hutuambii kama umefanikiwa au bado unahitaji,Wantanzania bwana mkifanikiwa tu kimya.
  8. C

    Kisanga kipya chamkuta Waziri Ngeleja D`Salaam

    Tanzania wawekezaji ni muhimu kuliko wananchi,hii nimbaya sana.sijui kama watalipwa inabidi wananchi wawe ngangali kwenye kupata haki.
  9. C

    Mtoto wa kitanga anahitajika!!

    Kiburudisho cha kutafutiwa utakikubali,
  10. C

    Hivi kitchen party zina maana (+vely) kwa wanaoanza ndoa?

    Maana ya kitchen Party ni kufundishwa namna ya kumkamata Mwanaume kisawasawa.
  11. C

    Intergrated Accounting Package needed

    JARIBU Tally.
  12. C

    Muwe makini na Wahitimu wa vyuo hivi

    Acha umbea wa kuharibu majina ya hivyo vyuo,ninawasisi na wewe kwamba la inawezekana ulisoma kwa cheti cha kufoji,acha watu wasome wa kikamatwa wewe hauta kuwepo,pilipili usiyo ila omba kazi PCB,
  13. C

    Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

    Nitumie Email yako nikoforward cv yangu na barua ya kuombea kazi.
  14. C

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    MZIWANDA uko tayari kuchaguliwa kitu chochote hata kama ni used, ustarabu wa kutafutiwa kitu ni issue kweli,
Back
Top Bottom