Recent content by CHOMA

  1. C

    Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

    Aisee kuna ulemavu wa aina nyingi sana hapa duniani.
  2. C

    TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    Sawa kabisa. Sasa Mamlaka husika zifanyie kazi suala Kituo cha sheria na haki za binadamu ili kuleta mizania ya maamuzi ya TCRA.
  3. C

    Haya magazeti yanamuonea Magufuli au ndivyo ilivyo

    Mwenyezi Mungu ndie mjuzi wa kila kitu. Tuache kulalamika.
  4. C

    Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Hizo nazo ni habari hewa mkuu
  5. C

    King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

    TCRA bado ufuatiliaji wao wa hizi Kampuni zenye ving`amuzi kwa sasa sio mzuri.Zila chanel 5 walizosema zinaonyeshwa bure hata kama hujalipia malipo ya mwezi sio kweli.Mfano ni Kampuni ya TING usipolipa malipo ya mwezi ya sh.10000 huoni hata stesheni moja.Aidha hakuna mfumo wa kuripoti kwao...
  6. C

    Kwa uhuni huu wa Fastjet haukubaliki

    Pole sana mkuu. Hata hivyo wakulaumiwa zaidi ni Mamlaka husika. Kwa nini wanaposikia matangazo yao kwenye vyombo vya habari na malalamiko kutoka kwa wadau hawawaiti na kuwarekebisha utaratibu sahihi wa uendeshaji wa biashara yao. Wanapokaa kimya wadai wanawahisi pengine wana maslahi kwenye hiyo...
  7. C

    Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

    Nawapa pole sana ndugu zangu wa Cloud. Nina hakika baada ya muda nao wataruka hewani kwa digital.
  8. C

    Matokeo ya darasa la 7 ni kituko na ni aibu kwa taifa

    Hizo takwimu za uchaguzi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Sekondari mwaka 2013 ni kwa ajili ya Wahisani au Wafadhili wa sekta ya Elimu na sio kwa Watanzania. Hii ndio hali halisi ya Serikali kutufanya Watanzani ubongo wetu haupandi kwenye uchambuzi wa data.Mitihani yenyewe ilikuwa na...
  9. C

    Waziri Mulugo azidi kuandamwa

    Amim tafadhali usikubali kudhalilishwa hivyo. Jitokeze jamvini ujisafishe kwa kuelezea ukweli wa tuhuma wanazokubambikia. Kitendo cha wewe kuaminiwa na kuteuliwa na J.K. kinatosha. Chezea Mulugo wee. Karibu jamvini ufanye mavitu yako.:target:
  10. C

    Katika hili, Star TV walipotoka

    Star T.V. wangetusaidia kwa kuhoji upande wa pili ili Wenje akiri au akanushe taarifa hiyo kabla ya wana JF hatujachangia hapa jamvini.
  11. C

    Zitto afichua siri yake na Kikwete...

    Ili kuthibitisha uzalendo wako ZZK ni vema uachie Ubunge kwa kipindi kimoja ili ukaimarishe chama na kujenga safu ya ushindi kwa CDM kwa ajili ya nafasi ya Urais.
Back
Top Bottom