Recent content by CHIPAKAMA

  1. C

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Alivyokuwa anateka watu na kuwapa kesi wewe ulipata faida gani? Malisa anapata faida ya watu Sasa wataondoa hofu na kuishi kwa amani.
  2. C

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Kweli hapa kazi tu
  3. C

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Dhuluma hiyo mtalipa tena mtalipa ghali sana endeleeni kutawala kibabe baada ya kuongoza kistaarabu hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
  4. C

    Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    ulitaka aongee dakika ngapi? ck zote mtu mwongeaji sana ni mara chache kutekeleza majukum yake hvy tunataka watu wa vitendo.
  5. C

    Deo Meck Mbagi sio kiongozi wa NCCR MAGEUZI, Kamati ya nidhamu kumuadhibu rasmi

    Wewe unatumiwa na nani? vijana tuache kuwa daraja la wanasiasa...kwan cc ndo tunapata shida ya kujenga chama huku wilayani kwa hiyo penye kasoro lzm tuhoji.
  6. C

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Hajakwambia yy ni ccm wala chama gani anachotaka yy ni majib ya maswali yake, cdm bwana tumeaminishwa vibaya na viongoz wa taifa mtu akiuliza au kuhoji kitu kinachogusa masilahi yao utaambiwa msaliti, hilo hata mm limenitokea mara nying nikihoj jambo ktk kikao naambiwa mpambe wa zito, je kwa...
  7. C

    Katibu wa BAWACHA Ilemela ahamia ACT Wazalendo

    Acha siasa chafu mtu akihama cdm na kujiunga na chama kingine cha siasa mnasema msaliti mbona mtu akitoka ccm,cuf,nccr,nld,tlp akijiunga cdm hamsemi msaliti? msaliti ni yule anayehama chama pinzani na kujiunga ccm huyo ndo hafai kabisa.
  8. C

    Tetesi" Katibu wa Jimbo mkoani Geita "CHADEMA" Kuhamia ACT-Wazalendo

    Basi hata chadema ilianzishwa kuua upinzan wa cuf waachen act wajenge chama
Back
Top Bottom