Recent content by Chilangachiba

  1. C

    Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

    Kama Askofu huyu angekuwa pia anajua utaratibu kuwa wako viongozi wakuu juu yake mbona na yeye anawakamata watu na kuwafungulia mashtaka mahakamani. Huu ndiyo utaratibu wa Kanisa Anglikana kweli? Jamani huyu mzee hawezekani jamani ndiyo maana hata tumeamua kuja humu jukwaani
  2. C

    Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

    Malalamiko yamepelekwa mara nyingi huko juu na hakuna jambo lolote linalotekelezwa. Usione tumekuja hapa kwenye jukwaa. Tumefika hadi kwa askofu mkuu lakini hakuna msaada wowote. Msifikiri sisi hatujui kuwa kanisa halina uongozi wa juu. Ofisi za jimbo wanajua suala hili lakini hatua...
  3. C

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lisu! Bidii yako katika kutetea haki na Demokrasia safi Tanzania ndiyo matokeo ya kutunukiwa. Naomba ufahamu kazi unayofanya ni kazi ya Mungu, na Mungu ameuona mchango wako. Endelea na bidii hiyo naye Mungu atakubariki.
  4. C

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lisu! Bidii yako katika kutetea haki na Demokrasia safi Tanzania ndiyo matokeo ya kutunukiwa. Naomba ufahamu kazi unayofanya ni kazi ya Mungu, na Mungu ameuona mchango wako. Endelea na bidii hiyo naye Mungu atakubariki.
  5. C

    Anaweza kusoma kozi gani huyu

    Ndugu zangu wana jamvi. Nina ndugu yangu ambaye ni muhanga wa matokeo ya Kidato cha nne ya mwaka huu ambayo yameundiwa tume na Mheshimiwa Pinda ili kuwapa watu ulaji. Ndugu yangu huyu amepata D mbili tu yaani ana division IV ya 33 (amepata D ya kiswahili na Kiingereza). Zamani zilizopita mwaka...
  6. C

    nateseka kiukweli..

    Hata mimi niko serious natafuta mwanamke wa kuwa naye. Kama uko tayari basi nitafute kwa email hii. pamakikiteto@gmail.com
  7. C

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Nafikiri waislamu kwa kuwa hawajaenda shule ndiyo maana wanang'ang'ania kuwa wachinjaji wataifa angalau nao wapate ajira maana kuchinja siyo lazima uende shule. Na kama ndivyo wangekuwa wazi tu waseme kuchinja kunawapa ajira ili sisi wakristo tuwaachie, lakini pamoja na hayo, waende shule...
  8. C

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Asante sana mleta mada hii; na nikushukuru sana kwa kuwa mstaarabu kwa kusema kuwa inawezekana kuna makosa ya uelewa katika kuileza mada hii; lakini cha msingi ni ile concern yako ya kutaka watu wachangie. Mimi niseme naishangaa sana Serikali kwa kutokuwa makini katika kutatua mambo. Katiba ya...
  9. C

    Dawa ya Amoeba Jamani

    Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
  10. C

    Secretary anaomba mahali pa field jamani.

    mimi ninashida nitafute nitakupa kazi
  11. C

    Jamani nimefiwa

    Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja. Tupo pamoja, sisi sote niwapitaji tu hapa Duniani
  12. C

    Rafiki yangu nimemkaribisha home, anakaa mikao ya kihasara hasara!

    Huyo binti anatafuta kazi ya aina gani, amesoma kitu gani? Sema ili tujue professional yake tuone namna ya kumsaidia. Ni kweli akikaa hapo muda mrefu huwezi kukwepa matatizo.
  13. C

    Msaada tafadhali

    Post deleted;
  14. C

    Usafiri wa kwenda zimbabwe (harare)

    Hi, ndugu zangu, habari za leo! Ninasafari ya kwenda Zimbabwe mwisho wa mwezi huu, naomba kujua kama upo usafiri wa mabasi wa kutoka Dar kwenda Harare. Na je nauli ni shilingi ngapi kwa sasa. Naomba anayefahamu anijulishe. Asanteni sana
Back
Top Bottom