Kama Askofu huyu angekuwa pia anajua utaratibu kuwa wako viongozi wakuu juu yake mbona na yeye anawakamata watu na kuwafungulia mashtaka mahakamani. Huu ndiyo utaratibu wa Kanisa Anglikana kweli? Jamani huyu mzee hawezekani jamani ndiyo maana hata tumeamua kuja humu jukwaani
Malalamiko yamepelekwa mara nyingi huko juu na hakuna jambo lolote linalotekelezwa. Usione tumekuja hapa kwenye jukwaa. Tumefika hadi kwa askofu mkuu lakini hakuna msaada wowote. Msifikiri sisi hatujui kuwa kanisa halina uongozi wa juu. Ofisi za jimbo wanajua suala hili lakini hatua...
Hongera sana Mheshimiwa Tundu Lisu! Bidii yako katika kutetea haki na Demokrasia safi Tanzania ndiyo matokeo ya kutunukiwa. Naomba ufahamu kazi unayofanya ni kazi ya Mungu, na Mungu ameuona mchango wako. Endelea na bidii hiyo naye Mungu atakubariki.

Ndugu zangu wana jamvi. Nina ndugu yangu ambaye ni muhanga wa matokeo ya Kidato cha nne ya mwaka huu ambayo yameundiwa tume na Mheshimiwa Pinda ili kuwapa watu ulaji. Ndugu yangu huyu amepata D mbili tu yaani ana division IV ya 33 (amepata D ya kiswahili na Kiingereza). Zamani zilizopita mwaka...
Nafikiri waislamu kwa kuwa hawajaenda shule ndiyo maana wanang'ang'ania kuwa wachinjaji wataifa angalau nao wapate ajira maana kuchinja siyo lazima uende shule. Na kama ndivyo wangekuwa wazi tu waseme kuchinja kunawapa ajira ili sisi wakristo tuwaachie, lakini pamoja na hayo, waende shule...
Asante sana mleta mada hii; na nikushukuru sana kwa kuwa mstaarabu kwa kusema kuwa inawezekana kuna makosa ya uelewa katika kuileza mada hii; lakini cha msingi ni ile concern yako ya kutaka watu wachangie. Mimi niseme naishangaa sana Serikali kwa kutokuwa makini katika kutatua mambo. Katiba ya...
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
Huyo binti anatafuta kazi ya aina gani, amesoma kitu gani? Sema ili tujue professional yake tuone namna ya kumsaidia. Ni kweli akikaa hapo muda mrefu huwezi kukwepa matatizo.
Hi, ndugu zangu, habari za leo! Ninasafari ya kwenda Zimbabwe mwisho wa mwezi huu, naomba kujua kama upo usafiri wa mabasi wa kutoka Dar kwenda Harare. Na je nauli ni shilingi ngapi kwa sasa. Naomba anayefahamu anijulishe.
Asanteni sana
This is kind of stupid topic. Acha kutueleza mambo ambayo hayana maana, ungekuwa unasikitika tungeshauri lakini inaoneka unafurahia ulichokifanya. Ndugu jaribu kuwa mstaarabu, kumbuka unachomfanyia mwenzako na wewe utakuja kufanyiwa hivyo hivyo. Usipotubu hiyo dhambi siku ukija kuoa mke wako...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.