Recent content by cebran

  1. C

    Hivi alternator huwa inafanyiwaga repair au ikiharibika ni kubadilisha TU?

    Nina gari yangu Pajero mini dash board inaonyesha Ile sign ya battery/AT na nimeprove alternator haifanyi kazi maana nikichaji battery gari inatembea mpaka battery inaisha kabisa Sasa wataalam ninachotaka kufahamu hivi altenetor inafanyiwaga repaire ? Au ninunue mpya tu
  2. C

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mabasi yanayopiga sana hizo nyimbo ni ya njia ya iringa/ mbeya na Moshi /Arusha sehemu zingine ni nadra sana,
  3. C

    Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

    S 400 hapo Syria haipo activated kutungua ndege za Israel ila kulinda Kambi za Russia na hizo ndege za Israel hazifiki maeneo hayo kama zinaweza zikaangushe bomu kwenye maeneo alipo mrusi, ndio maana mrusi yupo hapo Syria ila Israel hajawahi kuua mrusi hata mmoja
  4. C

    Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Swali kwanini wasipewe kidogo kidogo Ili uzee wao uwe mzuri kama uzee wa waajiriwa?
  5. C

    Je ni sahihi kumuosha mzazi wako anapopatwa na magonjwa au kuzeeka

    Tena ndio inatakiwa ili hata kama kunakitu Cha aibu inabaki Siri ya familia
  6. C

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Upeo wako mdogo, vita ya Sasa imekaa kiuchumi na sio kuuwana Iran anatuma drone yenye thamani ya 1500$ wewe unaitungua Kwa kombola lenye uthamani wa 2 million $ Sasa zidisha mara 300 Yaani Kwa fikra zako ulitaka lirushwe Bomu lenye thamani ya $2m Ili kubomoa nyumba hapo telviv na kuuwa watu...
  7. C

    Mikoa 10 iliyokusanya mapato mengi mwaka wa Fedha 2022/23 kupitia halmashauri zake

    Ni mapato ya halmashauri yaani hivi vikodi Kodi vinavyokusanya na halmashauri kama parking, utoaji wa vibali mbalimbali, Kodi za ziliochini ya halmashauri mfano za mazao na mifugo
  8. C

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Vita ni hesabu anachokifanya Irani no kutia hasara yeye anarusha kadrone thamani ya 2000$ wewe unakitungua Kwa missile yenye thamani ya 2 million dollar
  9. C

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Zimesha achiwa
  10. C

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Kabisa, Kwa wenzetu mtu analipwa kutokana na output huku sasa, unakuta taasisi Kila mwaka inapata loss then management inaongezewa mshahara
  11. C

    Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

    Usichokijua ni kuwa sehemu kubwa ya waajiliwa ni bendera fuata upepo na hawaishi Kwa kutumia akili na awana uzoefu wa maswala ya pesa hivyo hili ndilo kundi kubwa linaloigiza maisha, mtu kamshahara chini ya 1 million anakopa bank anunue gari huku uhakika wa mafuta hana, anajibana kupeleka mtoto...
  12. C

    Je naweza weka engine ya CC1290 gari iliyokuwa na CC990

    Mwenzio huyo hapo mgongo wa chura umepachikwa 3500cc na umetulia
  13. C

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilijua umemkopy Putin, mbona yeye alichokisema kinachomshangaza isis hawashambulii marekani au nchi rafiki na marekani hivyo ana wasiwasi
  14. C

    Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Kwenye droo ya chini hapo seat ya abiria toa hiyo droo toa na chekeche washa ac kelele itakuwa inatoka hapo huwenda ulipaki sehemu panya wakaingiza kitu au blower imelegea
Back
Top Bottom