Mikoa 10 iliyokusanya mapato mengi mwaka wa Fedha 2022/23 kupitia halmashauri zake

Hayo mapato sijayaelewa. Ni jumla ya mapato ya mkoa mzima kwa mwaka kutoka katika vyanzo vyake vyote vya mapato ama vip.

Hilo pato la DSM linajumuisha hadi bandari au ni namna gani.
 
Ni mapato ya halmashauri yaani hivi vikodi Kodi vinavyokusanya na halmashauri kama parking, utoaji wa vibali mbalimbali, Kodi za ziliochini ya halmashauri mfano za mazao na mifugo
 
Kwa mujibu wa takwimu kutoka kwenye viambata vya Bajeti ya Tamisemi 2024/2025,Ifuatayo ndio Mikoa 10 yenye Mapato mengi Tanzania Kupitia Halmashauri zake.Namba ziko kwenye Billions Tanzania Shilings.

1. Dar es Salaam =240.821 bln
2. Dodoma=60.998 bln
3. Arusha=56.868 bln
4. Mwanza=50.732 bln
5. Pwani=50.537 bln
6. Mbeya=49.182 bln
7. Morogoro=44.862 bln
8. Tanga=38.279 bln
9. Kagera=34.477 bln
10. Geita=30.897 bln

Mikoa ya mwisho ni
  • Rukwa(10.315 bln)
  • Simiyu(15.386 bln)
  • Kigoma(16.061 bln)
  • Singida(18.334 bln)
  • Katavi(18.707 bln)
Pia soma Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

My Take
Mikoa hiyo 10 ndio huongoza kwenye top 10 Makusanyo ya TRA isipokuwa Mbeya na Geita.

Mkoa ambao Huchukua nafasi ya Mbeya kwenye List ya TRA ni Songwe na Mara.

Mama amefungua Nchi na makusanyo yanaongezeka.Hongera sana wachapa kazi wote.

Dodoma naona inazidi kuja kasi cc ILAN RAMON
 
Ndugu zetu wahaya hatimaye wamejikongoja,kuingia top 10
 
Ni kujipa moyo tu na hizi takwimu lakini Tanzania ni Nchi yenye umasikini uliokithiri duniani.
Mkuu unataka kulinganisha na California au Texas amazing kama zingekuwa nchi zingekuwa za nne na tano baada ya US, China, na Japan/German?
 
Wakimaliza kuuza viwanja watarudi huko huko zero.
Components Yao ya Fedha za viwanja ni wastani wa Bilioni 18,Sasa sijui watamaliza lini wakati Watu Wanazidi kuhamia na kujenga hapo Jijini.

Pili Kwa Sasa Mapato ya Jiji la Dodoma nimeona hayakui au yanapungua yaani ni Kati ya bln 40-45bln miaka 5 Sasa ,sijaelewa shida ni ipi.
 
Hayo mapato sijayaelewa. Ni jumla ya mapato ya mkoa mzima kwa mwaka kutoka katika vyanzo vyake vyote vya mapato ama vip.

Hilo pato la DSM linajumuisha hadi bandari au ni namna gani.
Ndio ni Jumla ya Mapato Kwa Mkoa mzima ila Kwa vyanzo vinavyosimamiwa na Halmashauri tuu.

Tzn tuna taasisi nyingi za kukusanya pesa ila taasisi kubwa ni TRA na Halmashauri
 
Kwa mujibu wa takwimu kutoka kwenye viambata vya Bajeti ya Tamisemi 2024/2025,Ifuatayo ndio Mikoa 10 yenye Mapato mengi Tanzania Kupitia Halmashauri zake.Namba ziko kwenye Billions Tanzania Shilings.

1. Dar es Salaam =240.821 bln
2. Dodoma=60.998 bln
3. Arusha=56.868 bln
4. Mwanza=50.732 bln
5. Pwani=50.537 bln
6. Mbeya=49.182 bln
7. Morogoro=44.862 bln
8. Tanga=38.279 bln
9. Kagera=34.477 bln
10. Geita=30.897 bln

Mikoa ya mwisho ni
  • Rukwa(10.315 bln)
  • Simiyu(15.386 bln)
  • Kigoma(16.061 bln)
  • Singida(18.334 bln)
  • Katavi(18.707 bln)
Pia soma Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

My Take
Mikoa hiyo 10 ndio huongoza kwenye top 10 Makusanyo ya TRA isipokuwa Mbeya na Geita.

Mkoa ambao Huchukua nafasi ya Mbeya kwenye List ya TRA ni Songwe na Mara.

Mama amefungua Nchi na makusanyo yanaongezeka.Hongera sana wachapa kazi wote.
WaTz tunanyonywa na kukamuliwa hasa, huku tozo za jiji, kule kodi. Wajanja wanaziponda tu!
 
Kwa mujibu wa takwimu kutoka kwenye viambata vya Bajeti ya Tamisemi 2024/2025,Ifuatayo ndio Mikoa 10 yenye Mapato mengi Tanzania Kupitia Halmashauri zake.Namba ziko kwenye Billions Tanzania Shilings.

1. Dar es Salaam =240.821 bln
2. Dodoma=60.998 bln
3. Arusha=56.868 bln
4. Mwanza=50.732 bln
5. Pwani=50.537 bln
6. Mbeya=49.182 bln
7. Morogoro=44.862 bln
8. Tanga=38.279 bln
9. Kagera=34.477 bln
10. Geita=30.897 bln

Mikoa ya mwisho ni
  • Rukwa(10.315 bln)
  • Simiyu(15.386 bln)
  • Kigoma(16.061 bln)
  • Singida(18.334 bln)
  • Katavi(18.707 bln)
Pia soma Mikoa 15 Inayoongoza Kuchangia Kodi za TRA Tanzania

My Take
Mikoa hiyo 10 ndio huongoza kwenye top 10 Makusanyo ya TRA isipokuwa Mbeya na Geita.

Mkoa ambao Huchukua nafasi ya Mbeya kwenye List ya TRA ni Songwe na Mara.

Mama amefungua Nchi na makusanyo yanaongezeka.Hongera sana wachapa kazi wote.
Wenye nchi wakiangalia hayo mabilioni, wanachoona na kuchekelea ni magari mapya!
 
Tulishakubali Kagera ni maskini ya kutupwa. Sasa huku inatoka wap tena
 
Back
Top Bottom