Recent content by cds

  1. cds

    Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

    Binafsi nadhani bidhaa zinazopaswa kupigwa marufuku (ban) ni bidhaa za ubora mdogo mfano viatu vya wanawake ni aibu tupu, toy za watoto huwa naumia nikizikuta mtaani
  2. cds

    Kusanya nguo usizozitumia wagawie wahitaji

    Binafsi napenda sana kugawa nguo&viatu, especially kwa Ndugua, huwa sipendi kuwa na nguo nyingi na kuvaa nguo kwa muda mrefu hivyo baada ya muda huwa nazigawa muda mwingine nazituma kijijini. Kuna wahitaji wengi sana wa hizi nguo tunazozifungia kwenye makabati bila kuvaa, nilianza kugawa nguo...
  3. cds

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Everything Roman Reigns can do, Braun Strowman can do better.
  4. cds

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    The miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.
  5. cds

    Ronaldo anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka

    Asee yaan leo kama kuna mtu hata taja jina la Cr7 atakuwa na matatizo.
  6. cds

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ebu na Mimi nicoment kidogo, ukweli ni kwamba wakenya wapo juu in term of infrastructure za majiji makubwa kama Nairobi, Mombasa na kisumu huko kote nimefika ukilinganisha na dar, arusha na mwanza, hawa jamaa ni mabepari by nature ndio maana ni kitu cha kawaida kukuta magorofa kijijini kitu tz...
  7. cds

    Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

    Paka ndio mnyama pekee anaefaidi, na kutumia Mali za mmiliki ipasavyo kuanzia sofa, fridge, na kitanda, wakati upo kazini yeye amekaa home kwenye sofa anachapa usingizi akichoka anaenda kupata joto la fridge, Ila kusema kweli paka ni msafi na anajipenda kuliko maelezo, ameumbiwa starehe.
  8. cds

    Unakumbuka stori/mtu gani katika majarida makali ya zamani Tabasamu, Sani na Bongo?

    Dah John kaduma bonge la mchoraji nakumbuka katuni yake amemchora mzungu anakula ugali na mlenda, Jamaaa ameinama kwenye kiti Kama anadondokea kiti alichokalia Mpaka mdogo wangu alibandika ukutani tukifka tunatania, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. cds

    Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

    Asante sana nimesoma Uzi wote, ninejifunza kitu, ila ifike kipindi baadhi ya watu wabadilike kuna watu kazi yao ni kuponda tuu liwe jema ama baya young blood endelea kutupa maujanja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. cds

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    Acha majungu. The quality of anything is not always determined by it price.
  11. cds

    Ujinga ni kununua umeme wa maji toka Ethiopia wakati Nile inaanzia Tanzania

    Dah Naona kabsa mpango wa kuzalisha Umeme wa upepo kutoka singida unaelekea kuzimu.
  12. cds

    Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

    Dah hii gari yako inaonekana ya kitambo, imetembea km zote hizooo, sema gari za siku hizi ni bora zaidii.......hapo unaanza kusifia magari mengine.
Back
Top Bottom