Mahakama Kuu ya Tanzania leo mchana (17.09.2014) imetupilia mbali mapingamizi 4 (Preliminary Objections) yaliyowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) katika kesi ya kupinga kuendelea kwa mchakato wa Bunge la Katiba iliyofunguliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law...
Labda kwa kujibu swali lako kuhusu pre nuptials na post nuptials naomba nikuhakikishie kuwa zinakubalika Tanzania (ingawa sheria haiko wazi sana katika hili hasa kifungu cha 58). Hapo nilipohighlight panatoa posibility ya kuamua ni mali zipi ziwe za ndoa na zipi zisiwe za ndoa. Uamuzi huu (kwa...
Mtoa hoja ana hoja. Kasema kweli. Watu wanaonunua degree wapo tena wengi. Bahati nzuri nimegraduate MBA Corporate Management ya Mzumbe. Niliifanya kwa jasho na damu yangu n m proud of my thesis and findings. Bahati mbaya sana, wapo wenzangu ambao thesis zao ni of questionable quality and...
Labda nikuongoze kidogo. shauri lako linaweza kuingia katika vipengele viwili. Moja ni sheria za madhara (kwa kiingereza tort) kwa wale mlioumia na sheria ya Fatal Accidents kwa wale waliofariki.
Kiutaratibu kuna michakato miwili huendelea mahakamani. Mchakato wa Kijinai kupitia Road traffic...
Ila najua mwaka 1997 ndio ulikuwa mwaka wa mafanikio kuliko mwaka mwingine wowote maana najua ukiacha Kongosho vijana wa mwaka huo zaidi ya 30 walienda Ilboru na wengine 20 walienda Mzumbe na wako very succesful kwenye maisha.
I am proud to be married to one of the 1997 Classess.
Ah miye nilikuwa jangwani lakini naukumbuka sana wimbo wa shule ya Azania na namna Bob Leo (now an advocate) alivyokuwa anauimba: Azania, Azania, Azania our school. We look at you with pride. You are known far and wide and you are always our guide we will never forget you. .....Niendelee?
Lakini pia ni lazima watu watambue kuwa demokrasia pia ina gharama zake na hapa ndio zinapojionyesha wazi. Katika demokrasia kuna mtazamo wa mwenye kura nyingi ndio apewe regardless amezipataje. Kuhoji amezipataje ni lazima uende kwenye mfumo tofauti wa rufaa lakini hakumuondolei mtu uhalali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.