Recent content by cabo peter

  1. C

    Tayari keshapost

    na wale wafanya mazoez kwa ajili ya kulinda amani wanatutisha mtaani wapo wapi. haha kwel kisu huliwa na kutu binadam huliwa na mtu. this country need diplomatic and wiser leaders
  2. C

    Kazi mwenye diploma ya account toka CBE

    how about procurement cio accounts bt college ni cbe
  3. C

    Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    startimes is headache. better live them
  4. C

    Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    mi mwnyew nimeshangaa kukuta kitu kma iko na ndo mwsho wa mim kuangalia tv sabab hamna cha msingi. na tcra wanaliona ili ujue na wamekaa kmya
  5. C

    Watanzania "wanyonge" na "masikini" tutaje nafuu tuliyoipata tangu awamu ya tano iingie madarakani

    angalau kodi iliokuwa inakatwa kila mwisho wa mwez ya umeme imeondolewa
  6. C

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    mmeipenda wenyewe!, waacheni waandamane eee. shauri yao fisiem mbele kwa mbele. acheni niongee ukweli jamani kama ulishawahi bahatika kwenda nchi za wenzentu afrika hii hii mfano mzuri bondeni kwa madiba utagundua nchi yetu haiwajali kabisa wananchi wake leo hii acha nilitoe moyoni hili jambo...
  7. C

    Nafasi ya kazi msimu huu wa sabasaba!!

    jina la kampuni mkuu. acha kutoka povu mbna swali dogo tuu ilo
  8. C

    Ajira kwa zaidi ya wahitimu 5,000 kuanzia kesho

    mkuu taarifa yko haijajitosheleza. ujasema hafla itakapofanyika. muda
  9. C

    Msaada kwa anayejua chuo kinachofundisha Air ticketing kwa Dar es Salaam

    chuo chenye sifa nzuri ya hiyo couse yko ni NIT au magogoni
  10. C

    Onyo kwa wote wanaotafuta kuajiriwa

    inategemea na mfanya kazi mwenyewe mkuu. mtu analipwa 2M na amefnya kazi 3yrs the same time amejenga nyumba ya 150M bunju jiulize sasa apo ndo utajipatia jibu la swali lako
  11. C

    Natafuta kazi, nina diploma ya ugavi

    mungu wng. kumbe tupo wengi bila shaka utakuwa umesoma cbe.mimi kma ww dada ajira ngumu napambana. cha msingi usichague kazi ukipata we fanya tuu hata kma haina maslahi kiivyo kwan ndo unajitengenezea connection nzuri ya kujipatia ajira nzuri. usikate tamaa marufuku
  12. C

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    haha kaka umeua. kma unanisema mm na degree yng ya Business Administration
  13. C

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    kaka naunga tela nipo tayari 0712605935 niunge kiongozi
Back
Top Bottom