Recent content by bwete

  1. B

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Ameondoka na ngoma(ukiacha ile ya TOT), siyo pressure wala nini,na alikuwa akiisambaza makusudi kwa watoto
  2. B

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mungu aliepusha asiingie msituni maana angetutoka kabla ya vita kuanza
  3. B

    Tumeishi miaka mi 3,kauli zake zimekuwa zakuniumiza sana

    Huwenda anatoaga kauli za kudharau kibamia chake
  4. B

    Nyerere ajificha kwa Wassira

    Mabibi harusi wengine.....,utamaliza vipodozi vyote.
  5. B

    Nyerere ajificha kwa Wassira

    Utakesha mkuu
  6. B

    Vyanzo halali vya Mapato ya Vyama vya Upinzani hususani CHADEMA na CUF viwekwe wazi, mbali na Ruzuku

    Huyu mtoa post Ni mpumbavu kweli kweli, yeye alitegemea hivi vyama vife kwa kukosa pesa ya kuviendesha maana CCM hawaamini kama kuna maisha bila wizi au misaada, sasa anapoona vyama hivi vinasonga mbele bila wizi na misaada, akili take inashindwa kabisa kupokea, Wamesha jengwa kwenye misingi ya...
  7. B

    Kama uko above 30 huna mke/mume wala mtoto we ni masikini tu

    Ila siku hizi hata wa kumuoa nae hapatikani kwa urahisi
  8. B

    Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Vipengele viwili vimenigusa,cha gaidi kuwahi kuijua Tanzania na Kuuzwa kwa Loliondo, Hata kigamboni nasikia imeuzwa kwa mmarekani, Hivi nchi inauzwa na nani?yeye ndo mmiliki pekee halali wa nchi? Mikataba inafanyikaje? Hela anakula nani? Wazawa watafukuziwa wapi? Basi kuwe na mgao sawa kwa wote...
  9. B

    Paul Makonda: Tukio la vurugu kwa Warioba limenipa umaarufu

    Nchi hii inaongozwa na wavuta bange na wauza unga, (kikwete na Liz one)
  10. B

    Chuki ya wanasiasa kwa Tume ya Katiba na kifo cha Dr. Mvungi

    Damu hizo zitakuja juu yao, CCM wana vita na Mungu mwenyewe, sio ukawa wala wananchi.
  11. B

    Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

    Wewe kama ulikuwepo rush a video hapa, msiongee lugha laini kwenye jambo gumu mkuu. Umetumwa?
  12. B

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Hili mbu mbu mbu LA CCM sijui linachagiaga mini, Lenyewe Kazi ni Kukutea na kushangilia kuila ushezi unaofanywa na selikali na viongozi wa ccm. We lifuatilie kwenye hoja zote humu jf utaliona, halinaga mawazo chanya yenye Tija kwa watanzania
  13. B

    Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

    Kama kweli mnajali uzalishaji mbona tukizalisha nyie mna iba? Mala escrow mala rich mond mala mabilioni ya uswis, huku mna tuua mkituswaga tukazalishe, wakati nyie mnaiba
Back
Top Bottom