Mleta mada uwe unakuwa makini kusikilisha walisema hvi mchakato wa katiba kusitishwa hawakusema BMK kusitishwa maana yake ni Kwamba BMK litaendelea ila upigaji kula umesitishwa mpaka baaada ya Election ya 2015
Nilikuwa siamini hata kidogo Dawa. Za asili na me nilikuwa na tatizo kama lako but me nilikuwa nimeng'oa moja na kuziba 2 but hata niliyoziba yaliendelea kunisumbua kila nikienda Kwa madaktari wa meno option waliyokuwa wanasema ni kung'oa tu but nilinunua Dawa ya asili inaitwa Super Teeth...
Me Nina tatizo la vipele kichwani nimetumia Dawa Nyingi sana bila mafanikio Kwa hyo kuvifubaza huwa natumia Gentresone tatizo ni takribani miaka sita sasa naomba kama kuna Dawa inaweza nisaidia nijulishwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.