Search results

  1. B

    ITV linavyochemka chemka!

    Mleta mada uwe unakuwa makini kusikilisha walisema hvi mchakato wa katiba kusitishwa hawakusema BMK kusitishwa maana yake ni Kwamba BMK litaendelea ila upigaji kula umesitishwa mpaka baaada ya Election ya 2015
  2. B

    Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    Jamani me katika yote nilifurahishwa na MC pilipili Jamaa anachekesha balaaaa
  3. B

    Meno Yametoboka - Msaada Please!!

    Nilikuwa siamini hata kidogo Dawa. Za asili na me nilikuwa na tatizo kama lako but me nilikuwa nimeng'oa moja na kuziba 2 but hata niliyoziba yaliendelea kunisumbua kila nikienda Kwa madaktari wa meno option waliyokuwa wanasema ni kung'oa tu but nilinunua Dawa ya asili inaitwa Super Teeth...
  4. B

    Ajira za mkataba Halmashauri ya Arusha zikoje?

    Mkataba ni miezi 3 mitatu unaweza kuacha Kwa utaratibu ulianishwa ktk mkataba.
  5. B

    Fastjet Wanatesa na kudharau Abiria

    Hawa Jamaa ndio Tabia zao we unashangaa nini na mnaweza mkaka hata masaa 10 dezo gharama
  6. B

    IceBucket Challenge yaonyesha tulivo wajinga...

    Tunawaza ngono tu throughout.
  7. B

    Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Me Nina tatizo la vipele kichwani nimetumia Dawa Nyingi sana bila mafanikio Kwa hyo kuvifubaza huwa natumia Gentresone tatizo ni takribani miaka sita sasa naomba kama kuna Dawa inaweza nisaidia nijulishwe.
  8. B

    Walter Reed Tanzania, kwa anayeifahamu

    Wapo vizuri si wametupatia landcruisuer Mpya tushughulikie masuala ya ukimwi ila wameifunga GPS
  9. B

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Sio kweli mtoa mada amedanganya umma.
  10. B

    Nifanyaje ili niweze kuunganisha simu ya A akipigiwa nami nijue

    Umefanikiwa? Au upo muhimbili tayari
  11. B

    Nimepata maono dr. Slaa kashinda urais 2015

    Me ninaota Lowasa kawa Rais
  12. B

    Fedha za kusafirisha mizigo na usafiri kwa ajira mpya serikalini

    Sio kweli fedha ya mizigo ni haki yako formula ni 1000×km×tani 3 kama mshahara wako unaanzia TGS C or equivalent marekebisho ya standing order yalipunguza tani from 5 to 3 na siku from 14 to 7 for 1 appointment
  13. B

    Wenye tetesi za Salary scale mpya za watumishi wa serikali

    Me sihitaji kujulikana nijulikane Kwa lipi?
  14. B

    Wenye tetesi za Salary scale mpya za watumishi wa serikali

    Kwa kukuthibitishia hilo TGTS D ni 630000/ kama ikitoka tofauti wambie wanifute JF
  15. B

    Wenye tetesi za Salary scale mpya za watumishi wa serikali

    Mkuu aliyetaja hizo scale anadanganya Umma kama hujui si ungekaa kimya tu me najua kila kitu but maadili ya kazi yangu hainiruhusu kuweka hvyo vitu hadharani but Jamaa amedanganya kuna sehemu ameongeza sana na zingine amepunguza sana.
Back
Top Bottom