Recent content by blessideal

  1. blessideal

    SoC01 Mapambano dhidi ya ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira zisizo rasmi mfano Wizi,Kuuza madawa ya kulevya na mengineyo.Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
  2. blessideal

    Fursa kwa Developers

    No kuna English,Russia,German,Chinese,Japanese,Portiguese na espanol
  3. blessideal

    Fursa kwa Developers

    Wana tool yao inaitwa Metaeditor ila pia kama uko fresh Python ni fresh
  4. blessideal

    Fursa kwa Developers

    Sio mwandishi mzuri lakini nataka kushare hii na watanzania, Hii ni moja ya fursa kubwa zinazopatikana duniani kwa sasa,Kutokana na ukuaji wa masoko na mwendelezo wa ukuaji wa teknolojia. Leo hii nawaletea fursa kubwa ambayo inaweza kuwasaidia watu wenye ujuzi kuhusu masuala ya mitandao hasa...
Back
Top Bottom