Kila mmoja na definition yake ya mafanikio kimaisha tusipangiane. Wewe kama huwezi kununua vitu vya gharama kwako acha na hakuna atakaye kulazimisha na wala kukuhoji.
Yule mwanamke alinifundisha sana nini maana ya kupendaa aisee,, sijawahi tena kujihisi kupenda mwanamke kiasi kile. Ubarikiwe huko uliko na ualimu wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.