Recent content by Bilulu II

  1. B

    Mafunzo ya kilimo kwa vitendo

  2. B

    Kwanini uwe maskini

    Umaskini unaletwa na kutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Chagua kimoja unachokiweza na kukipenda kifanye kwa juhudi na ubunifu.....Hivyo hivyo katika taaluma huwezi kuwa eng. Dkt. Mtaalam wa kilimo n.k. . Chagua kimoja na kifanye na mwache Mwenye taaluma husika afanye kazi yake pale...
  3. B

    Natafuta supplier wa drip irrigation system ya bei nafuu

    Nichek 0755549753/0715549753..... Tuna drip ambazi ni cheap.......
  4. B

    Natafuta drilling machine ya PVC

    Wadau kama unajua wapi maweza pata hiki kifaa naomba nielekezwe ama kama umachopia itakuwa poa sana. Mm npo dar
  5. B

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Je. Joto la dar es salaam alitoathiri mazao?
  6. B

    Nataka nianzishe kampuni ya kilimo cunsulting!!!!

    Unaujizi wowote katika nyanja hizo??
  7. B

    Kwa wamiliki wa makampuni

    [emoji43] [emoji43]
  8. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Nshawah jaribu hyo lakini majibu ilokuwa inatoa ni Nouma....... yan no ukwel kabisa
  9. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Ninahitaj ya kitumia shamban kusoma areas.... Na pia co mtaalam wa hzo kitu hvyo unaweza nisadie ipi ni bora na bei yake
  10. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Asante sana br..
  11. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Kazi ninayofanya ni kupima mashamba..hvyo nahitaj GPS itakayokuwa inanisaidia kunipa vipimo vya eneo kwa uhakika
  12. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Nipo Morogoro.... Vipe hapo radiowave inauzwa bei gan??
  13. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Vipi upande wa Morogoro unawezajua pande gani wanauza???
  14. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Nejaribu tumia smart phone na kudownload apps za GPS lakn cpati ninachohitaj....napia mazingira mengine huwa hayana mtandao hvyo na fail
  15. B

    Mahali gani naweza kupata GPS?

    Wadau mambo vipi? Kwa anaejua mahali gani naweza pata GPS ya kununua tafadhali naomba unisaidie kwa kunipa location ama namba za wahusika...
Back
Top Bottom