Et utalii wa ndan hivi dar kuna lipi jipya ambalo mwanza halipo? jiji lenyewe limejaa mitaro tu
Mungu awasaidie hao wanafunzi maana wamezungushwa vya kutosha!
Nasoma mwaka wa pili katka chuo kikuu kimoja hapa Mwanza na pia nanufaika na mkopo kutoka HESLB.
Je kwa kutumia pesa za mkopo ambazo ni 450,000 kila baada ya miezi miwili naweza kuanzisha mtaji gani au biashara?
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu
Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu.
Rais Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi anahitaji heshima yetu hata kama haturidhiki na utendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.