Recent content by baraka muyabi

  1. baraka muyabi

    Niulize swali lolote kuhusiana na Wilaya ya Tarime

    kwa hapa wilaya ya Tarime kupakana na wilaya ya Musoma mjini na vijijini HAPANA...ni wilaya mbili tu zilizopakana na Tarime ambazo ni Serengeti na Rorya tu
  2. baraka muyabi

    Tunauza Magari Used, Spares Used, Magari yaliyopata Ajali.

    mkuu ntapata taa ya mbele upande wa kulia ya vitz old model... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Okay...namna nzuri ya kuweza pata memory card yenye speed ntawezaje kuitambua...pia namna ya kulitatua tatizo la storage katika Samsung J5
  4. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Hapana mkuu sijai root...yaani nafahamu tu memory SanDisk sijui zaidi ya hapo...
  5. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Chief Mkwawa memory yangu ni SanDisk..halafu Adb command siijui kabisa mkuu
  6. baraka muyabi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa Jetman Huyo demu mwenye nao anisaidie
  7. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Sawa mkuu ngoja tuwasubiri akina Chief mkwawa
  8. baraka muyabi

    Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

    Wakuu habari za muda.. Natumai mu wazima na majukumu ya hapa na pale hasa katika suala zima la TEHAMA Ninatumia Samsung J5 ina ukubwa wa GB 4 internal storage yake...nimenunua memory card ya GB 8 niifanye iwe default storage lakini sijaona options yoyote ndani ya simu ya kuifanya memory card iwe...
  9. baraka muyabi

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Okay ngoja nijaribu mkuu ..natumia sana utorrents
  10. baraka muyabi

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    mkuu mimi naomba msaada hasa nikipewa torrents link ya kuweza ku-download korean drama kama utakua nayo ntashukuru sana maana napata taabu sana kuangalia online tena youtube..niliwahi kupewa link ila ikawa ni ya kuangalia tu na siyo kupakua ...msada mkuu
  11. baraka muyabi

    Msaada wa namna ya kupata product key za microsoft office

    kuna option mbili wakati wa ku install ...unaweza chagua kuinstall bila key ili uje uweke baadae au ukaweka moja kwa moja mkuu
  12. baraka muyabi

    Msaada wa namna ya kupata product key za microsoft office

    okay ni PM mail yako nikutumie .....
Back
Top Bottom