Ni wimbo usio kua n maisha marefu pia nafikiri vile maswala ya uchaguzi yanakaribia ni kujipa shavu ale pesa za kampeni... beat n idea ya soapy yake Naira marley Nb mond ataendelea kuwabuluza mnoo
Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa inaweza ikaleta matokeo chanya katika jumla ya matokeo yake.....! Hii elimu ngumu sana ila hatuna namna...
Yule atabaki kua muhamasishaji tu nafikiri ila hawez kutoka simba moja kwa moja. Huyo Gift anaenda kufanya kazi kiweledi zaid kama anavyofanya D10 yule wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.