Recent content by baby success

  1. baby success

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Utapata mwingine na naumivu ya mapenzi utasahau Sema AMEN
  2. baby success

    Board ya Mkopo (View Application Status)

    Mnasubilia maokoto [emoji1787]
  3. baby success

    USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Kama tulivyo kubaliana kwenye kikao cha mwisho kwamba wazazi hawaachani[emoji4]
  4. baby success

    Ukipewa namba na mwanamke wa JF kuwa makini sana, ukizubaa unaliwa

    Kuombwa 10000 tu ndio voko lote hilo????
  5. baby success

    Amezama kwenye lindi la mapenzi, nampigaje chini bila madhara?

    Me nasema hivi haachwi mtu kirahisi hivyo ni fulu kugandana shenzi Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  6. baby success

    Hivi Mademu kama Hawa Wapo Kwel ama ni Ndoto Zangu tu🥱

    Watu kama hao tumebakia wawili tu mimi na mdogo ake mwamposa yule wa rungwe aitwae atupele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao wengine ni matapel tu Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  7. baby success

    Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Hapo ungetuma na kaclip kidogo ukiwa unavheza huo wimbo ungenoga sana kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  8. baby success

    Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

    Hii ni special KWA wale wa products za online [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  9. baby success

    Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

    Kikubwa mtume maokoto swala la kukutana live ni nyeti kidogo [emoji1787] Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  10. baby success

    Halmashauri ya Wilaya ya Ileje lipeni pesa za kujikimu

    Malawi huko Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  11. baby success

    Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mjini hapa ukute mali ya mtu hiyo Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  12. baby success

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Hizi tabia za kihaya[emoji1787][emoji1787] utasikia ningepanda ndege ILA tu sijisikii Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  13. baby success

    Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Kutuelewe nini tunataka ni kitu kisichowezekana maisha yenu yote Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  14. baby success

    Hivi wanawake ni viumbe wa aina gani na wanataka nini hapa duniani?

    Shida inakuja pale Mungu alitukua ubavu wenu mmoja wakati mmelala fofofo kisha kuumbwa sisi harafu mnategemea mkae mtuelewe tunataka nini?? [emoji1787][emoji1787]Sio kweli Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom