Nionesheni wapi manji alishawahi ajiriwa serikalini akaiba akapeleka pesa uswiz dah watu bwana ama ulifikiri mtanzania haruhusiwi kuhifadhi fedha zake pahala anapohisi ni salama nje ya nchi yake? Tatizo lilikuwa mafisadi kuficha hela sasa Manji ni fisadi aliiba nini na lini na wapi
teh teh wananikumbusha yule mfuga nyoka wa kijijini kwetu sikimbi na yule aliyetaka kuanza kufuga nae bidhaa hii hadimu du wakaanza ooh sheria za kijiji haziruhusu kufuga nyoka nyumbani mara oohh sasa yule mfugaji mpya pamoja na majirani zake mbona yule mfugaji wa zamani anlifu na anaendelea...
Ruge Matak@ tuu ugomvi wake anataka uhamie kwa wasanii ila huu FA nae anatafuta kudharauliwa tuu naamini hategemei sanaaa muziki sasa hizi njaa hata sijui zinatokea wapi jamani au wana jengine kati yao Jide aje hapa jamvini atueleze, juzi Ommy dimpozz ameongea point sana wasanii washikamane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.