Search results

  1. baba juniho

    Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

    Nionesheni wapi manji alishawahi ajiriwa serikalini akaiba akapeleka pesa uswiz dah watu bwana ama ulifikiri mtanzania haruhusiwi kuhifadhi fedha zake pahala anapohisi ni salama nje ya nchi yake? Tatizo lilikuwa mafisadi kuficha hela sasa Manji ni fisadi aliiba nini na lini na wapi
  2. baba juniho

    Baada ya Lissu kuchukua fomu ya Urais, Dr Mwakyembe atishia kuifuta TLS

    Kiruu kutawala maisha Tz haiwezekani
  3. baba juniho

    Lowassa,Tutalivuka daraja

    we are with u our coming presida
  4. baba juniho

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Ama kweli sauti ya wanyonge haina makali ila ipo siku itageuka kuwa bomu litakalo wasambaratisha wote wasio na uchungu na utaifa wetu
  5. baba juniho

    HTC 0687 inauzwa tshs.300,000

    tupia picha
  6. baba juniho

    Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Wapige tuu ila 2015 na ninyi mtapigwa vivyo hivyo teh teh kutesa si kwa zamu bwana
  7. baba juniho

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    teh teh wananikumbusha yule mfuga nyoka wa kijijini kwetu sikimbi na yule aliyetaka kuanza kufuga nae bidhaa hii hadimu du wakaanza ooh sheria za kijiji haziruhusu kufuga nyoka nyumbani mara oohh sasa yule mfugaji mpya pamoja na majirani zake mbona yule mfugaji wa zamani anlifu na anaendelea...
  8. baba juniho

    Tundu Lissu na kampuni za madini

    CCM na wote ni wa PINDA
  9. baba juniho

    kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

    Shame on you Policcm ana maccm
  10. baba juniho

    Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

    Ruge Matak@ tuu ugomvi wake anataka uhamie kwa wasanii ila huu FA nae anatafuta kudharauliwa tuu naamini hategemei sanaaa muziki sasa hizi njaa hata sijui zinatokea wapi jamani au wana jengine kati yao Jide aje hapa jamvini atueleze, juzi Ommy dimpozz ameongea point sana wasanii washikamane na...
  11. baba juniho

    Zitto aibua Ufisadi mpya BOT, ni wa karibu 620bil

    Vijisenti tuu wajameni tuwakaushie mbona sehemu nyengine mtu ukiingia tuu unalamba 110M ya nyumba hamsemi du acheni unafiki
  12. baba juniho

    Baada ya siri ya Mwigulu Nchemba kulalamikia CCM kumwachia zigo la Lwakatare kuvuja,Nawashauri CCM

    :washing: Wachumia Tumbo CCM mwaka wenu huu lazima mkajipange mrudi 2020
  13. baba juniho

    Mawaziri watatu kung’olewa madarakani nchini Tanzania

    sijawahi ona Rais wa namna hii si tuu tanzania bali duniani kwa ujumla nyere aliliona hili ndo maana 1995 alimkataa na kumweka jembe (MKAPA) , mkadhani babu kakosea haya sasa oneni, hapo na badooo ndo picha linaanza
  14. baba juniho

    CHADEMA mnampuuza Mbowe!

    Wewe Nauye nasikitika kama mpaka leo na wewe huwezi toka kwenye lindi hilo la mawazo finyu aka Ubongo wa mende kichwa cha tembo, kwa sasa njia pekee ya ninyi na wezi wenzio kuendelea kutawala ni kuachana na CHADEMA na kuweka mikakati yenu endelevu ya namna ya kurudisha imani ya wananchi ilopotea...
  15. baba juniho

    Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

    Ndio Mzee tunaelewa shida kila mara kura za maamuzi yetu magumu hazitoshi ndio maana bado CCM inatesa
Back
Top Bottom