Recent content by auxiliomkina

  1. auxiliomkina

    Kazi na dawa

    Dah! Kweli uzoefu kazini
  2. auxiliomkina

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ndo maana ya isidingo the need kila mmoja anahitaji iwe pesa,mapenzi,umaarufu...nk
  3. auxiliomkina

    Milipuko inayosadikiwa kuwa ni mabomu inasikika maeneo ya Dar usiku huu

    Hiyo ya bodaboda kukimbilia eneo la tukio ni noma ipo siku kitanuka na mtajifunza madhara ya kukimbilia eneo la tukio
  4. auxiliomkina

    Wambea mpite hapa

    Mi napiata tu......hahahahahaaaaa ipo siku atajua madhara yake
  5. auxiliomkina

    Hivi hii ni kweli jamani?

    Ngoja nicheki kwanza Kwa wadau ila kuna ukweli aisee
  6. auxiliomkina

    Mtuache Warombo, kwa raha zetu

    Rombo noma!
  7. auxiliomkina

    Dar express inaungua Wami?

    Duh! Wami noma naona kwa dar express kama kweli linaungua maana hii ni second time itakua
  8. auxiliomkina

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Kisbo na city boys haya magari na anayeyamiliki pamoja na madereva wake bhange magari yana kimbia sana tusiombee yaje kupata ajali itakua hadithi Tanzania kwa anaye yafahamu atakua anajua mziki wake barabarani!
  9. auxiliomkina

    Polisi wakiwawinda watumiaji wa JF, wanaweza wakamata?

    Jf raha sana nilikua sijacheka tokea pasaka leo u made my day lol
  10. auxiliomkina

    Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

    Hahahaaaaa labda niku pm maana …
  11. auxiliomkina

    Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

    Rpc kilimanjaro unajua sababu ya kupewa u IGP?
Back
Top Bottom