Nampongeza kujiamini na kuongea kiswahili lugha ambayo ni comfortable kwake. Tuangalie mambo ya msingi kama hiyo miradi walioingia mikataba na fursa ya dengu. Sijui uwezo wao hao wahindi waliopewa mikataba ya maji sababu kuna mradi maji Ng'apa Lindi walipewa wahindi wametelekeza site wananchi...
Nimejaribu kufuatilia kama kuna mipango yoyote ya ujenzi wa barabara za kutoka NACHINGWEA -NANGANGA (Km. 45) na RUANGWA - NANGANGA (Km. 60) kwa kiwango cha rami maana barabara hizi zimekuwa kero na ucheleweshaji wa maendeleo ya watu wa maeneo hayo bila kusahau barabara ya NANGURUKURU - LIWALE...
Mbowe ametangaza kugombea lakini hajawa Mwenyekiti, bado kuna mchakato wa uchaguzi naamini wapo wagombea wengine wenye uwezo watajitokeza na ni jukumu la wanachama kuchagua wanayeona anawafaa
By Sturmius Mtweve and Felix Lazaro ,The CitizenReporters
Posted Wednesday, April 30 2014 at 00:00
Dar es Salaam. A parliamentary committee yesterdayconfirmed the worst government budget expenditure news -- that up to 60 percent of the money allocated for development projects under the local...
Suala hili la muundo wa Muungano ni la kihistoria Tume za Jaji Kisanga na Jaji Nyalali ambazo baada ya kuchukua maoni ya Watanzania zilipendekeza kuwepo kwa Serikali tatu, na pia tunakumbuka mijadala ya mwalimu Nyerere miaka ya 1993/1994 na kundi la G55 ambapo wabunge na viongozi wengi wa CCM...
Mawazo yako ni kama ingekuwa Tz ni nchi ya Kifalme, lakini katika Demokrasia kukosolewa ni jambo la kawaida especial ukiongea hadharani kama vile unapiga porojo kijiweni, kiongozi lazima ufanye analysis ya kila neno unalotoa kinywani kwako, ndio maana wanakuwa na watu wa kuwaandikia 'speech'.
JK 'runs away from catching poachers'
BY AISIA RWEYEMAMU
15th February 2014
Head of state says he knows some of the culprits
Christiane Amanpour, (L), CNN Senior International Correspondent and host of CNN International's Nightly Interview Programme 'Amanpour' hosts President...
Hata mimi sikuamini masiko yangu kama kiongozi wetu wa nchi ndio katoa kauli hiyo, ukichanganya na ile ya Pinda kwa Polisi, basi tunasubili vita kati ya Green guard + Polisi na Red guard + Wananchi.
Ningependa kutoa ushauri kwa viongozi wa chadema kutosimamisha mgombea Kalenga kwani wakifanya hivyo watakuwa wanapoteza pesa zao na muda wao bure, kwa sababu watashindwa vibaya na itakuwa aibu tupu.
Demokrasia ni haki ya wananchi kuchagua kiongozi wanaomtaka, ukisema vyama vingine visishiriki...
Wafanyabiashara wanaona shida kulipa kodi maana visingizio vimekuwa vinabadilika kila siku mara zina bei kubwa, mara hazirekodi manunuzi, mara 18% kodi, tupate elimu kwanza n.k
EFD imekuwa kero kwa wafanyabiashara kwasababu inatunza kumbukumbu za biashara za kila siku kwahiyo ile fursa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.